Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Maoni na kura yako iwe kwa vigezo hivi: Ni bila kuangalia _AINA YA MUZIKI _UJUMBE _MSANII ALIYEIMBA _HADHIRA ILIYOKUSUDIWA _UKUBWA WA MWANAMUZIKI _MUDA, MWAKA, IDADI YA _MATAMASHA, UKUBWA WA...
1 Reactions
71 Replies
7K Views
Simulizi : MIKONONI MWA NUNDA Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 UKEKE Maulana alikuwa mzee ambaye siku zote alipingana na uzee, mzee ambaye hakukubali...
8 Reactions
116 Replies
25K Views
JICHO LA SANAAA MATAA HEIST Based on true event "Wakati adui anahitaji nafasi moja katika kutekeleza mipango yake ya kidhalimu, vyombo vya usalama na ulinzi vinahitaji kila nafasi, kila fursa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO. Agosti 25, katika Julius Nyerere International Convention Centre. Usikose fursa hii nzuri!
1 Reactions
2 Replies
696 Views
MPENZI: Mpenzi laazizi nyonga mkalia penzi, Nakupenda kama njaa ipendavyo shibe, Nimeamua hili huba kulitilia tui la nazi, Nitaliundia na kamati ya ulinzi wasiliibe. Unajua nini babe, sio tu...
0 Reactions
7 Replies
945 Views
Hii ndio Orodha ya nyimbo za africa zilizoingia Top 50. 1. Love Nwantiti (Ah Ah Ah)- CKay. 2. Peru-Fireboy DML & Ed Sheeran. 3. Essence-Wizkid Featuring Justin Bieber & Tems. 4. Attention-Omah Lay...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
wimbo mzuri sana sana kutoka kwa huyu fundi wa tabora kiko kids
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila mwandishi wa miswada {script} hutumia njia aipendayo kuitumia katika kuandika miswada {script}si kwa nchi yetu ya Tanzania pekee hata nchi za wenzetu, kwa kukuaminisha nimeamua kukuwekea...
10 Reactions
2 Replies
5K Views
Nenda youtube, Andika 'Sanura audio' na wimbo utauona chini ya Makondeko Group Musika tayari kwa kuenjoy. Mimi nimeshindwa kuupandisha humu. Aisee ni bonge la wimbo, jamaa alikuwa anajua sana...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
SABABU YAKO: Sikulaumu wala siwezi kuja kulaumu, Ila ni sababu yako mimi kuwa hivi, Ni aghalabu kuona tabasam langu yani nimekuwa chakaramu, Unapokuwa kibogoyo ni nadra kutafunia fizi, Ila...
1 Reactions
0 Replies
554 Views
Wadau heshima kwenu, naomba kujua jina la huu wimbo Unaitwaje. Nimejaribu kuimba melody yake unavyoenda natumai ukiuskia kama unaujua utaufahamu tu. Naomba mnisaidie jina lake tafadhali. Thanks...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Hawa commentators wanaokaa mmoja mmoja wamekuwa na favoritism na kuleta mahaba, ni vema sasa mkawa mnaweka huku mpenja pale kabombe nk nk kama tuko EPL vile wenzetu commentaries zao haziboi...nyi...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Habari wana jamvi, kama umepata kusikiliza wimbo wa marioo na country boy utakua unajua jinsi gani wameua kwenye hilo goma. Wimbo ni mkali sana na wametembea kwenye beat vizuri
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Muandishi:- Joseph .D. Migini Call/txt:- +255766604683 Josephdeo70@gmail.com Ndani ya chumba hichi cha wastani kilichoja samani za kufanya kuitwa sebule ya kisasa kwa waingiao. Nilikuwa nimeketi...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Jana Jumatatu Mei 3 saa 1.30 usiku ITV wameanza kuonyesha tamthilia mpya iitwayo UZALO. Kwenye tamthilia hii waigizaji hawajatafsiriwa zikasikika sauti za Kiingereza kama ilivyokuwa kwenye EGOLI...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa tuliokua Teens miaka ya 1990, Koffi Olomide alikua ni mwanamuziki ambaye tumesikiliza na kucheza sana nyimbo zake. Binafsi, album yake ya V12, yenye nyimbo kama Andrada, Bambino, Aspirine...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya ameonesha kukerwa na kitendo cha Mgombea Urais kupitia Azimio nchini Kenya, Raila Odinga kumwalika Diamond Platinumz kufanya show kwenye kampeni zake leo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Huwenda hii ndio animation itakayouza Sana mwaka huu na Kali pia Imesetiwa na director Kyle Balda Ndan ya studio kuna watilia sauti magwiji kama Dolph iandeni, Michele yeoh na Claud Van damme...
1 Reactions
6 Replies
987 Views
Baada ya kushindwa kutoa burudani Agosti 8, 2022 kwenye Ukumbi wa Next Door Arena, msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria alikamatwa na polisi na kuweka kituo cha Oysterbay jijini Dar es salaam. Leo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu salamu Husika na Title ya huu uzi. Tuzo za muziki za Tanzania zinatolewa usiku huu ikiwa ni miaka 7 imepita bila uwepo wa Tuzo hizi nchini Tanzania, tuzo za mwaka huu zinatolewa kwenye...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom