Natafuta Lyrics ya Get off my way ya Godzilla

Natafuta Lyrics ya Get off my way ya Godzilla

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
182
Reaction score
261
Wakuu kwema? Poleni na majukumu.

Nimetafuta sana Lyrics ya ngoma ya Marehemu Godzilla.

Ngoma inaitwa Get off my way.

Kama kuna mdau anayo Lyrics plz naomba aitume hapa.

forgive me
 
Kabla sijaanza kurap nlitaka niwe drug dealer
Kabla sijaanza kurap nishaitwa Godzilla...
Sikupenda kuwa MC nilitaka kuwa drug dealer
Ndugu marafiki, wakaleta complain...
Nakipaji kwanini niishie kusell cocaine...
 
Kabla sijaanza kurap nishaitwa Godzilla...
Sikupenda kuwa MC nilitaka kuwa drug dealer
Ndugu marafiki, wakaleta complain...
Nakipaji kwanini niishie kusell cocaine...
Mother akapata report akiwa kwa office....
Mwanao mkorofi illegal cought by the police...
Mtaani mpaka chuo wakawa hawanifeel...
 
Back
Top Bottom