Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wakuu kwema? Poleni na majukumu. Nimetafuta sana Lyrics ya ngoma ya Marehemu Godzilla. Ngoma inaitwa Get off my way. Kama kuna mdau anayo Lyrics plz naomba aitume hapa. forgive me
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kati ya filamu Bora za mwaka huu basi filamu ya PREY ipo IPO katika chart za juu haswa hii chuma IPO Chini ya kampuni ya 20 Century Director wa hii movie ni Dan Trachtenberg na Story ya movie...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Dc Comics na Marvel ni washindani wakubwa katika vibonzo au comics lakini pia katika kutengeneza Filamu na hata vikaragosi au cartolns pia. MARVEL wamewaacha mbali DC katika filamu hasa katika...
8 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ngoma hapa mmiliki wake ni artificial robot aliyekuwa signed na record label kubwa. It is all AI naona ufake umeingilia mziki. Soon tutaona artificial movies
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Nyimbo za Singeli ziliibuka miaka ya 2013 na msanii mkongwe Dogo Niga Simela kutoka mburahati akivuma na kupendwa na wengi wanaseme Niga ndio muasisi wa Singeli kipindi hicho Singeli ilipendwa mno...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
15 Reactions
208 Replies
88K Views
Gereza la Kifo Mtunzi - HAMISI KIBARI UTANGULIZI Hamisi Hussein Kibari ni mtunzi wa riwaya na mashairi, mwandishi mkongwe wa habari nchini na mtengeneza filamu. Kwa kipindi cha takribani miaka...
16 Reactions
301 Replies
50K Views
RIWAYA; MZIGO MTUNZI; AHMAD MNIACHI SEHEMU YA KWANZA Niliwasili Dar es salaam saa tisa na nusu alasiri, ilikuwa ni mapema zaidi kuliko nilivyotarajia. Mvua ambayo ilinyesha masaa kadhaa...
1 Reactions
54 Replies
33K Views
Kwanza niwape pongezi watani zetu kwa kuendelea kupata vijambo vya kutusema na kitunanga,hakika tangu siku ile ya mwananchi tumekuwa katika wakati mgumu sana mpaka siku ya kipigo cha jana katika...
0 Reactions
2 Replies
797 Views
Mlete mzungu bongo moja la ngoma. 🙌🙌🙌
2 Reactions
1 Replies
789 Views
Habari. Kuna series ambazo ni ngumu kuzielewa unaweza kumaliza hadi season moja hata zaidi ila uelewi kabisa nini kinachozungumzwa/ lengo la season/movie husika. Hivyo basi kupitia huu uzi...
4 Reactions
69 Replies
8K Views
Nimejitahidi kutafuta sio Google, you tube na baadhi ya sites ambazo ziliunganishwa na links za kuupaata huo wimbo kama humu jf niliona links, cha ajabu nikiingiaa nakuta blank page, naitafuta...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Kwa wale wapenzi WA series, kuna series mpya imetoka Kwa sasa ina episodes 2 Tu Ila inaonekana kuwa Moto Sana inaitwa THE ENDGAME. Bado hatujajua hasa kiini cha matukio haya lakini hii ni sehemu...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni nyimbo gani ya kibongo ambayo kwa sasa tunaweza kuishindanisha na Buga ya kizz Daniel katika kipindi hiki ambacho Buga imetoka maana naona wabongo wengi wanalalamika kuwa hii ngoma inapendelewa...
0 Reactions
5 Replies
600 Views
Waigizaji nao wameunga mkono zoezi zima la Sensa ya watu na Makazi
0 Reactions
1 Replies
359 Views
Na Bishop Hiluka (Mwandishi wa stori za kusisimua zilizowahi kuchapishwa hapa JF za Kizungumkuti!; Laiti Ningejua!; Hekaheka!; Hadi Lini! na nyinginezo) 0685 666964 SAA 1:35 asubuhi, Samuel...
13 Reactions
1K Replies
209K Views
Maoni na kura yako iwe kwa vigezo hivi: Ni bila kuangalia _AINA YA MUZIKI _UJUMBE _MSANII ALIYEIMBA _HADHIRA ILIYOKUSUDIWA _UKUBWA WA MWANAMUZIKI _MUDA, MWAKA, IDADI YA _MATAMASHA, UKUBWA WA...
1 Reactions
71 Replies
7K Views
Simulizi : MIKONONI MWA NUNDA Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 UKEKE Maulana alikuwa mzee ambaye siku zote alipingana na uzee, mzee ambaye hakukubali...
8 Reactions
116 Replies
25K Views
JICHO LA SANAAA MATAA HEIST Based on true event "Wakati adui anahitaji nafasi moja katika kutekeleza mipango yake ya kidhalimu, vyombo vya usalama na ulinzi vinahitaji kila nafasi, kila fursa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO. Agosti 25, katika Julius Nyerere International Convention Centre. Usikose fursa hii nzuri!
1 Reactions
2 Replies
695 Views
Back
Top Bottom