Hizi ndio chorus kali za kuchana (hiphop ) Bongo

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,449
Kama hujui hip hop au Kama umeujua muziki baada ya Diamond au kama umejua muziki wa hip hop baada ya kumsikia Nikki mbishi au Songa basi naomba uachane na huu uzi Maana itakuwa hujui nyimbo nyingi.

Hizi ndio chorus kali kuwahi kutokea Bongo tangu muziki wa hiphop ukue.

1: Tathimini ya Prof. Jay feat Jay Moe
2: Mtazamo ya Prof. Jay, Afande Sele na Solo Thang
3: Sugu moto chini ya Jongwe a.k.a Sugu
4: Mvua na jua ya Jay Moe
5: Zamu yangu ya Joe Makini
6: Hii leo ya East Coast Team
7: Nini mnataka ya Pig Black
8: Nikizipata ya Eruka
9: Igo la mwaka ya Fanani
10: Nisikilize ya Pig Black feat Mr. Blue
11: Mwanangu huna nidhamu ya Dudu Baya
12: New era ya new generation humu kuna Stereo, One, Gozib, Young Killer, Izzo b na Cyril na Mabestie
13: Fanya fasta ya TLST
14: Trak tatu ndani ya traki moja ya Stopa Rhymes
15: DSM stand up ya Chid Benz
16: Sio lazima ya Watengwa
17: Kina kirefu ya Mansoor
18: Raha tu (original na sio remix) ya Ay
18: Miiko ya rap ya Crazy Gk ft Ay yaani humu ndani Ay alipiga chorus tamu sana
19: Hiphop ya marehemu Vivian feat Ay(humu pia Ay alinyonga bonge la chorus)
20: Yo maam Sapu ya Hard Blasters.

Niambie wewe za kwako ni zipi? Kumbuka hapa naongelea nyimbo ambazo zina chorus ya kurap na zikahit.
 
Snoop Lee mike moja
Kali p imekaa vibaya
Kala pina mstari wa mbele
Daz nunda kamanda
 
Kweli Mimi naishi nyuma ya muda maana kwenye list yako Sina wimbo hata mmoja.

Ngoja niwapishe wenzangu wake wamwage madini.
 
Snoop Lee mike moja
Kali p imekaa vibaya
Kala pina mstari wa mbele
Daz nunda kamanda

Kwanza mkuu niseme Asante sana kiukweli umenikumbusha mbali sana na hiyo ya snoop lee na inaonekana unajua muziki wa hiphop San.Sema hiyo hiyo ya kamanda sio hiphop Maana humo feruzi kaimba.Hata huyo kali p hajachana.labda kali p ungeniambia ile inaitwa Full kujiachia na nadhani ndio ngoma yake ya mwisho kutoa baada ya hapo akaamua kuacha muziki ameamua kumtumikia Mungu
 
Wadau naomba kuuliza kuna wimbo wa ManDojo na Domokaya unaitwa DINGI nataka kujua yule alieingiza Sauti na ManDojo pale wimbo unaanza alikua ni Solo Thang au Mr Paul? Jamaa hawajawahi kuusimulia huu wimbo kabisa kabisa ila ni wimbo mmoja wa kitofauti sana,

Nataka kumjua yule anaesema

Eee kele keleeeee

ManDoja anaitikia 'Feel the track free the track feel feel the track'

Anarudia tena

Eee kele keleeeeee

Huyu alieimba 'Eee kele keleeeee' ni nani?
 
Wadau naomba kuuliza kuna wimbo wa ManDojo na Domokaya unaitwa DINGI nataka kujua yule alieingiza Sauti na ManDojo pale wimbo unaanza alikua ni Solo Thang au Mr Paul? Jamaa hawajawahi kuusimulia huu wimbo kabisa kabisa ila ni wimbo mmoja wa kitofauti sana,

Ule Wimbo kaimba mtu mmoja tu wala hakuna sauti ya mtu mwingine
 
Ule Wimbo kaimba mtu mmoja tu wala hakuna sauti ya mtu mwingine
Nataka kumjua yule anaesema

Eee kele keleeeee

ManDoja anaitikia 'Feel the track free the track feel feel the track'

Anarudia tena

Eee kele keleeeeee

Huyu alieimba 'Eee kele keleeeee' ni nani?

Wimbo ni ManDojo & Domokaya ila sauti ya mwanzo aliemba hakuwekwa kwenye Wimbo kaingiza sauti tu
 
Changa la macho -AY ft Complex Rip
Ndani
Ndani ya party - solo thang ft mac 2b
Miss Tanzania - solo thang ft mac 2b
Hii leo - gk ft ay ft f.a
Ntakufaje - gk
Nitakukumbuka daima milele - gk ft TID
Msafiri - kwanza unit
Usiwe na hasira - solo thang ft nguza
Darubini kali - watu pori
Dunia ina mambo - watu pori
Chemsha bongo - prof j
Party flani - geez mabovu ft nhwair rip
Elimu dunia - daz baba ft ferouz ft afande sele
Nipe tano - daz nundaz
Wauguzi - wagosi wa kaya
 
Story tatu ..Jay moe
Show time...FA
Natubu...Chid benz
Twenzetu tusonge...Chid benz & Jay moe
Mchizi wangu...N2N
Tuko pamoja...Masu-Li

Just to mention afew
 
Changa la macho -AY ft Complex Rip
Ndani
Ndani ya party - solo thang ft mac 2b
Miss Tanzania - solo thang ft mac 2b
Hii leo - gk ft ay ft f.a
Ntakufaje - gk
Nitakukumbuka daima milele - gk ft TID
Msafiri - kwanza unit
Usiwe na hasira - solo thang ft nguza
Darubini kali - watu pori
Dunia ina mambo - watu pori
Chemsha bongo - prof j
Party flani - geez mabovu ft nhwair rip
Elimu dunia - daz baba ft ferouz ft afande sele
Nipe tano - daz nundaz
Wauguzi - wagosi wa kaya
GK - Simba wa Africa
GK - Sauti ya Manka
GK - Nitakufaje?
East Coast - Itikadi Zetu
J Nature - Mtoto IDDI
J Nature - Ugali
J Nature & Mangwair - Mtoto wa Jakaya
Mangwair - Dakika 1
Mangwair - Aka Mimi
Geez Mabovu - Mtoto wa Kiume
J Nature - Mugambo
Babu wa Kitaa ft Mchizi Mox & Langa - Kimbia
Mchizi Mox - Chupa Nyingine
Mangwair ft J Nature & KR - Msela
Mangwair ft Babu wa Kitaa - Wa Kitaa
Mandojo & Domokaya ft Lady Jaydee - Wanok Nok
Fid Q ft Prof J & Langa - Ni Hayo Tu
AY - Yule
Mwana Fa & AY - Nangoja Ageuke
Mwana Fa & AY, Hami B - Habari ndio hio
 
Nataka kumjua yule anaesema

Eee kele keleeeee

ManDoja anaitikia 'Feel the track free the track feel feel the track'

Anarudia tena

Eee kele keleeeeee

Huyu alieimba 'Eee kele keleeeee' ni nani?

Wimbo ni ManDojo & Domokaya ila sauti ya mwanzo aliemba hakuwekwa kwenye Wimbo kaingiza sauti tu au ni P Funk Majani mwenyewe?

Nimekwambia kaimba mtu mmoja tu na ni domokaya
 
Changa la macho -AY ft Complex Rip
Ndani
Ndani ya party - solo thang ft mac 2b
Miss Tanzania - solo thang ft mac 2b
Hii leo - gk ft ay ft f.a
Ntakufaje - gk
Nitakukumbuka daima milele - gk ft TID
Msafiri - kwanza unit
Usiwe na hasira - solo thang ft nguza
Darubini kali - watu pori
Dunia ina mambo - watu pori
Chemsha bongo - prof j
Party flani - geez mabovu ft nhwair rip
Elimu dunia - daz baba ft ferouz ft afande sele
Nipe tano - daz nundaz
Wauguzi - wagosi wa kaya

Soma tena uzi.usikurupuke,, nimekwambia chorus za kurap na sio za kuimba.. chorus za kurap
 
Story tatu ..Jay moe
Show time...FA
Natubu...Chid benz
Twenzetu tusonge...Chid benz & Jay moe
Mchizi wangu...N2N
Tuko pamoja...Masu-Li

Just to mention afew

Safi sana mkuu hakika wewe unaelewa nilichomaanisha..dah Sema hiyo show time umenikumbusha dj na hiyo twenzetu ya chid na moe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom