Tribute to Dar Internationa "Super Bomboka" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tribute to Dar Internationa "Super Bomboka"

Discussion in 'Entertainment' started by Ibrah, Jun 8, 2011.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Leo nimeona niwakumbushe wale wakongwe wenzangu wa enzi za miaka ya 1980 ambapo kulikuwa na Bendi iliyojulikana kama DAR INTERNATIONAL aka Super Bomboka ambayo iliongoza na Marijani Shaaban.

  Hii bendi ndio bendi iliyoongoza kwa nyimbo zilizoenda shule (ujumbe mzito) ambapo hata zikipigwa leo utadhani ni mpya. Nyiimbo nyingne zilikuwa ni ivsa vya ukweli kabisa vilivyomkuta Marijani; nyimbo zilizokuwa visa vya kweli ni; Kaka Mashaka (Mwajuma) na Masudi. Huyo Mashaka, Marijani alimwimba baada ya kuwa amehamia Super matimila kwa Dr Remmy, huyo Mwajuma alikuwa mke wa mashaka na tulikaa naye maeneo ya Mburahati kwa Jongo. Dada alikuwa anampeleka puta Mashaka kikweli.

  Wimbo wa Masudi amekuwa jambazai, pia ni kisa cha kweli maana huyo kijana Masudi alimtaimu Marijani wakati akipiga muziki kwenye ukumbi mmoja kule Luhanga (Kigogo) na kumnyang'anya saa. Marijani akaamua kumweka hewani.

  Baadhi ya wapigaji wa Dar International wakati huo ni ;Marijani Rajab na Freshi Jumbe. Wadau,
  Tukumbushane nyimbo zenye akili za Dar Interantional Super Bomboka.
   
 2. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Du!
  Mkuu umenikumbusha majonzi. Nilisikitika sana huyu mwanamuziki alipokwenda mbele ya haki.

  Nyimbo zake nyingi zilienda shule kama ulivyosema hapo juu.
  Nazikumbuka:
  1.Wosia
  2.Zuena
  3.Asia
  4.Mwanameka
  5.Mama maria (sina uhakika, kulikuwa na maneno "nani kaenda kwa mama maria, na kuzusha maneno ya uongo, ilikuwa saa tatu za usiku..., Hao, ndio wenye kukaanga mbuyu, kuwaachia wenye meno watafune....I'm not sure for this. Ni long time).
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  JF kulikuwa na zilipendwa wakazitoa jamani MODS rudisheni basi zile nyimboo plse!!!
   
 4. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Sikitiko,wimbo huu ni very revolutionary kuhusu ukombozi wa Africa....Hata "king" Michael Enock mpiga sax maarufu alikuwa dar international.
   
 5. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ukewenza
   
 6. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hapo penye nyekundu ni Marijan Rajab aka Jabali la muziki. Marijan Shaban alikuwa refa
   
 7. M

  Masuke JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mpenzi Aisha.

  Mpenzi Aisha, mpenzi aisha, mpenzi nauliza lini utarudi? bado nakusubiri, uliniahidi tutaonana Darisalama, imekuwa mwaka sijakuona.
   
 8. M

  Masuke JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Dunia Imekwisha.
   
 9. M

  Masuke JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye nyekundu ni Usia.
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,185
  Trophy Points: 280
  Siwema, usinipe mateso ya moyo.........
  Marijani kweli alikuwa jabari la muziki
   
 11. M

  Masuke JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Siku ulipoondoka uliniacha nalia na majonzi, umekwenda kuishi mbali nami Georgina wamama.

  Georgina georgina umeniachia masikitiko, georgina wamama.
   
 12. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Dunia sasa imani imani imekwisha... nyoyo za watu zimebadilika... wala hakuna umaarufu tena... KWENYE WATU 10 Bin Adam m1...
   
 13. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Nilishangaa sana nilipoingia kwenye paper ya National ya Kiswahili ya F4 mwaka 1991 na kuukuta wimbo wa Mwanameka! Ilie paper ilinigonga sana niliondoka na D.
   
 14. M

  Masuke JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mkuu ulishindwa kujua maana ya "Hakuliki wala hakukaliki" nini?
   
Loading...