Hizi ndiyo nyimbo za wakovu

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Nikiwa nasikiliza nyimbo hizi machozi hunitoka machoni, na kuona Dunia ni bure kabisa na ninahisi uwepo wa Mungu ndani yangu.

1. Matendo ya Mungu
Hii beti hii;
"Na kama Eliya upesi kabisa nitakavyo acha dunia, uchungu na shida za uku zitakwisha milele nitashangilia."

2. Cha Kutumaini Sina

3. Kazi Yangu

Hizi nyimbo hakika zina upako fulani hivi ukizisikiliza kwa umakini sana.

Utajikuta machozi yanakutoka, unajiona wewe ni mkosaji, hufai mbele za Bwana. Hakika Ukristo raha sana.
 
Unasikia raha kujazwa hofu isiyokuwepo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom