HATARI: Propaganda za Ushoga zashamili NETFLIX

HATARI: Propaganda za Ushoga zashamili NETFLIX

PNU

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2020
Posts
377
Reaction score
2,809
Familia zinazotumia NETFLIX majumbani kuweni makini kwani propaganda za ushoga zimeshamili ili kuandaa watu kisaikolojia ususani watoto wetu.

Ushoga umeingizwa hadi kwenye cartoons za watoto, wazazi bila kujua unaweza ukajikuta unawaharibu watoto wako kupitia hizi huduma za kimagharibi ususani NETFLIX. Hali inatisha ndugu zangu tuweni makini na familia zetu asa kwa wale ambao wameruhusu NETFLIX kutumika na familia zao majumbani.

Serikali yetu sijui inasubiri nini kuchuja maudhui ya NETFLIX, nchi nyingine hawaruhusu baadhi ya maudhui kwenye NETFLIX kurushwa kwenye nchi zao hivyo unakuta baadhi ya movies au drama hazipatikani kwenye nchi nyingine japokuwa wote mnatumia NETFLIX ila kwa Nchi yetu Tanzania kila kiko wazi.

Nini kitatokea:
watoto waliokuzwa wakitizama hizi propaganda za Ushoga, akija tokea kiongozi mkubwa kati yao (RAISI) ana uwezekano mkubwa wa kuruhusu Ushoga Tanzania maana akilini mwake tayari ameona ushoga ni jambo la kawaida kupitia hii mitandao ya kimagharibi.
IMG_9478.jpg
 
Back
Top Bottom