Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Dondosha playlist yako hapa
0 Reactions
3 Replies
809 Views
Denis ni kijana mwerevu mwenye uwezo mkubwa wa kuamua na kutenda mambo mbali mbali kwa hali ya juu sana. Ni kijana ambaye amelelewa na familia ya Mr John Kapinga waziri mkuu wa nchi ya KONGOA...
0 Reactions
1 Replies
699 Views
Haueleweki hata uki-shine kwa punchlines on Facebook/ Haiwi-fine ka' Rayvan, we' fake tu/ Sikuoni B.E.T au MTV wak-play tunes/ Miaka nenda we' msanii, MC una play tu/ Makida, we' sio king kama...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa sasa kuna Commedy huko Star Tv inajulikana kama Futuhi, kimsingi Futuhi ni neno la kiswahili linalomaanisha Commedy, yaani tamthiliya ya ucheshi, jamaa kipindi chao kinarushwa saa 3 Usiku...
0 Reactions
3 Replies
16K Views
Hii sasa imekuwa too much ingawa mimi sisaidii kulipa mishahara hao watangazaji wenu na mnatumia hayo matangazo labda kulipa hao watangazaji kiukweli vituo vya radio vya Tanzania vinakera sijajua...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau mwenye nyimbo ya huyu jamaa wa msumbiji iliyoimbwa na Said Comoriel kwa kushirikiana na Mnyama.
0 Reactions
2 Replies
388 Views
Wananzengo kama kichwa hapo kinavyoeleza, naomba mnisaidie! App ya kutenganisha intrumental na wimbo!
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii...
9 Reactions
47 Replies
6K Views
Yeroo subhai Game ya watani wa jadi mwenyeji YANGA SC dhidi ya SIMBA FC naona muamuzi wa kati Ramadhani Kayoko anatembeza kadi za njano hatari,huu mchezo una msukumo mkubwa sana kwa wachezaji...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Yapata wiki mbili sasa toka kwa Rapa mkali hapa bongo Young Killer atoe albamu yake ya kwanza toka ameanza kuimba muziki. Nyimbo zote zinazopatikana kwenye albamu yake nimezisikiliza, kiukweli...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna huyu mwamba raia wa Sweden anazitendea haki ngoma za asili hususani zile za kabila kubwa la nchi hii. Huyu mswidish kabadili hadi jina lake la kiswidish anatumia jina la kisukuma ambalo ni...
1 Reactions
4 Replies
564 Views
Habari wakuu, mimi ni mpenzi wa nyimbo zote nzuri. Mwezi Septemba Barnaba na Marioo walitoa wimbo wao unaitwa "Marry Me". Kwakweli ni wimbo mzuri sana. Unaweza kuusikiliza ukiwa sehemu yoyote na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mashabiki wa mtayarishaji wa muziki (Producer), mwenye uwezo wa kipekee, aliyetayarisha wimbo wa Leka Dutigite wa Kigoma All Stars na zingine nyingi, Tudd Thomas, wamekuwa wakiulizana maswali...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
99.9% ya Nyimbo za Singeli zimejaa Maudhui ya Matusi tupu na nimeshangaa kuona Msanii wa Nyimbo za Singeli Sholo Mwamba akipewa nafasi ya Kutumbuiza katika Hafla za Rais Samia huku Matusi...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Filamu ya Kitanzania imeorodheshwa kuwania Tuzo hiyo, na hivyo kuhitimisha subra ya takriban miongo miwili kwa nchi hiyo kushiriki katika tuzo hiyo. Filamu ya Vuta N'kuvute - inayomaanisha...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Zamani enzi hizo, nimepiga viwalo vyangu mkanda nje suruali nimeifungia tumboni, wenyewe tunaita Mayenu.
3 Reactions
6 Replies
15K Views
Kwa wale wa wapenzi wa aina hii ya muziki tukutane hapa. Baadhi ya nyimbo ningependa usikilize pia; 1. Hollow Coves - coastline, these memories 2. Haevn - we are, the sea 3. Out of my hair - In...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Intro: Yeah, Biiizy Babloon/ Herry Samir, Mr. Blue (waelezeeee) Aaahhh Nimetoka Mbaaaaali Mbaliiii mbali mbali ( waelezeeee, waambie ukweli) What's up!! What's up!! Sayi Records (Records), Lazima...
5 Reactions
10 Replies
4K Views
Manara tokea ameingia Yanga hakuna alichoongeza wala kupunguza, zaidi zaidi amekuwa akipigwa mifiani na TFF pamoja na kula burn. Pesa za mshahara mnazomlipa bora mkazigawe kwa kina vigelegele...
0 Reactions
2 Replies
363 Views
Ndege ya shirika la ndege la Tanzania ilitua katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam ikitokea nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.Ndege ilisimama mlango ukafunguliwa na...
7 Reactions
61 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…