Hello Yanga

Hello Yanga

4293

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
218
Reaction score
353
Manara tokea ameingia Yanga hakuna alichoongeza wala kupunguza, zaidi zaidi amekuwa akipigwa mifiani na TFF pamoja na kula burn. Pesa za mshahara mnazomlipa bora mkazigawe kwa kina vigelegele Yanga na vikundi vya ushangiliaji.

Kila timu ikifungwa anakuja na Alhamdulilahi zake, hajawahi na hatowahi kuwa mshabiki wa Yanga. Tusilazimishe vitu na aachwe afanye maisha yake mengine.
 
Mbona unamsagia kunguni mwanaume mwenzako? Hautaki familia yake ioshe sahani na kwenda chooni?
 
Mbn unamsagia kunguni mwanaume mwenzako? Hautaki familia yake ioshe sahani na kwenda chooni?
Abaki kama mfanyakazi wa GSM kama alivyo Ommy dimpoz, kwa Yanga kama Yanga atupishe.. ni mnafiki na kila alichojaribu kukifanya yanga kimefeli
 
Back
Top Bottom