WAAMUZI;

WAAMUZI;

chillo clan conscious

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
850
Reaction score
1,575
Yeroo subhai

Game ya watani wa jadi mwenyeji YANGA SC dhidi ya SIMBA FC naona muamuzi wa kati Ramadhani Kayoko anatembeza kadi za njano hatari,huu mchezo una msukumo mkubwa sana kwa wachezaji timu zote husika pia kwa mashabiki,huu mchezo unafatiliwa zaidi ya milioni 5 ya watu ni kheri muamuzi achezeshe game hii akijua ya kwamba hii ni DERBY ambayo Timu zote husika zina point {alama} sawa ambazo ni 13,ila mpaka sasa ni kila Timu ina 14 kutokana na mabao husika,now mabeki wote wa nne {4} wa timu wana kadi za njano,ndo maana nimeanza na salamu Yeroo kwa utamkaji ni sawa na ukatamka {Yellow}.

Muamuzi aache msukomo achezeshe game kwa kuzingatia ukubwa wa mechi.

Humu kila mmoja kaweka nguvu kuanzia wachezaji mpaka matajiri,hivyo waamuzi pia wasitumie nguvu kutoa adhabu kwa Timu husika.

Pamoja na Timu zetu.
Namaliza
 
Back
Top Bottom