Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 482
- 681
Haueleweki hata uki-shine kwa punchlines on Facebook/
Haiwi-fine ka' Rayvan, we' fake tu/
Sikuoni B.E.T au MTV wak-play tunes/
Miaka nenda we' msanii, MC una play tu/
Makida, we' sio king kama Kiba/
Sio Yao Ming kwenye ring/
Mistari mingi zaidi ya zebra? (Zaidi ya zebra!)
Unazingua nigga, haujajijua nigga/
Umeanguka pua, bishoo hauwezi kuwa Jigga/
Rent mwezi ujao na haujalipa school fees/
Ya mwanao, unaumiza kichwa Uwe Q-Fid/
'Til now hauioni future, we' stupid/
Haujapiga bao na kutwa unawaza groupies?/
Pengine ni nuksi umejiletea au chuki umejijengea/
Haukumbuki ulipotokea bro (bro)/
Wabaya mauzushi, wanayachochea haushtuki ushapotea/
Wakushi wanakutetea bro/
Unakosea bro, ni kweli hauna spear bro/
Ku-play fair, ni kuwachezea ikatokea droo/
Sikutegemea bro, hatuwezi hata kuonea bro
Tushajionea ulivyo mlevi, ukaikosea show
CHORUS: Saida Karoli.
Kiberiti, nakuona unavyoniwashia moto mie (aye)
Kiberiti, nakuona unavyoniwashia moto mie (aye)
Ayi, ma-mama, kiberiti
Ayi, ma-mama
VERSE 02:
Nikiwa alone in my room, sometimes I stare at the door
And in the back of my mind, naziita hisia hebu njoo
Zinaingia zinaniambia hii dunia ni soo
Haiko sweet kama dove, I see, I need love
Tazizo lako hautaki kuuza maneno/
Legeza ka' wenzako acha kutukuza misemo(kutukuza misemo)/
Sheria ni yako ila isiuache msumeno/
Ukijikuna tako, usikate kucha kwa meno/
Ongea usikike au kaa kimya usidharaulike/
Au utupishe na jina lisahaulike/
Tulazimike kuzima ili itulipe/
Gwajima tumuite aje kukupima heshima ya Bashite/
Nje ya town, show huwa zina cloud ya kiwaki/
Kaza crown ibaki, ukikaza sana hawataki/
Tunajua una uwezo wa juu na kismati/
Na haujawahi kupigwa bu! Basi unajiona Tupaaaaac/
Kabla ya rotten brothers ulikua na chepe/
Two nature boys ndiko ulikoanza makeke/
Mwaka huu, mwaka we mwaka/
Ikakuweka juu ikawa Q hakuna asiyemtaka,/
well Lini uta-retire urudi kuuza mtumba lango?/
Una roho mbaya, hadi leo haujamkumbuka Rado/
We' sio kichwa, we' unaweza fichwa/
Ikichorwa hip hop, siioni sura yako picha/