Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 655
- 887
Hii sasa imekuwa too much ingawa mimi sisaidii kulipa mishahara hao watangazaji wenu na mnatumia hayo matangazo labda kulipa hao watangazaji kiukweli vituo vya radio vya Tanzania vinakera sijajua kwa nchi nyingine kwa sababu sisikilizi vituo vya radio vya nchi nyingine.
Matangazo yamezidi tena siku hizi kuna radio ya ya bwana Big wameweka kabisa automatic zikipita dakika kadhaa tangazo linakuja kwahyo kama kuna kitu kilikuwa kinaongelewa kinakatishwa wanaporud wanaanza tena matangazo mengine unasikiliza radio mpaka unaona kero.
Wanaanzisha mijadala haiishi ni matangazo tu siyo hao tu hata wale wa mawingu nao ni hvyo hvyo ingawa wa mawingu wana unafuu kidogo.
Halafu cha ajabu wanarudia matangazo yaleyale.