Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Link ipo chini, katazame huko youtube, like na u subscribe asante sana. Filamu Pictures, wanawaletea kazi ya filamu ya kitanzania iitwayo PETE Kutana na Bwana Lidawi, mvuvi mwenye hali ngumu na...
5 Reactions
63 Replies
4K Views
Habari ndio hiyo hapo juu. Na utu uzima wangu huu nimelia michozi. Teknolojia ya juu mno.
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Mfano nitajuta -yamoto band na nakukumbuka -Diamond beat ina ukakasi Socco ya wizkid na chombo ya rayvany kuna ukakasi Swagilie ya weusi na started from bottom kuna ukakasi ......endeleza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mahali nimekaa napata kilaji, kuna nyimbo zimepigwa hata sijaamini. Hii ni aina ya miziki ambayo ni ngumu kuisikia mitaani, kuna jamaa yangu aliwah niambia kuwa nasikiliza nyimbo ambazo...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
MIKWAJU 50 KUTOKA KWA DUNGA Nilianza KUSIKIA kazi zake akiwa na ndugu yake aitwaye SHAKII, huku wakisuka MIDUNDO mikali. Miaka ikaenda, nikamsikia akifanya ushirika na LAMAR pale 41 RECORDS...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa tuliokuwa tunafuatilia kwa karibu Hip Hop ya Bongo tunaikumbuka vizuri Mixtape ya Antivirus. Hii ni mixtape iliyokuwa engineered na Joseph Sugu na wenzake wakiwepo Mapacha, Rado na wengine...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
KISIWA CHENYE HAZINA Mtunzi: Robert Louis Stevenson,1883. Mtafsiri: F johnson na Edwin W Brenn, 1928. Marekebisho: Pictuss, 2021. Pictuspublishers@gmail.com Kinapatikana ndani ya maktaba app by...
8 Reactions
49 Replies
12K Views
Kwanza nianze Kwa kutoa disclaimer kisa hiki ni Cha kweli majina yaliyotumika hapa ni ya kweli bila kubadili chochote ilirekodiwa NAMI nikaihamisha kimaandishi kama ilivyo. MWANZO Kwa majina...
11 Reactions
66 Replies
9K Views
HANDSOME BOYS...[emoji7] SONGA NAYO........... "Maisha yangu yamekuwa ya mapito mateso na furaha pia, vyote vimekuwa vikichukua nafasi katika maisha yangu na kunifanya niwe imara na kuwa na...
1 Reactions
11 Replies
8K Views
Ten years ago today, Ariana Grande released ‘The Way’ featuring Mac Miller. The lead single off ‘Yours Truly’ was the megastar’s mainstream debut, peaking at #9 on the Billboard Hot 100. It was...
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Unafaa uzitazama wikendi hii. 1. The Equalizer Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Weekend ikiwa inakaribia, Kwa sisi wapenzi wa Movies ambao tunafanya shughuli zetu nyingine mbali mbali huwa inakuwa ngumu kupata Movies sahihi za Kuangalia kwa sababu hatuna vyanzo wala muda wa...
3 Reactions
6 Replies
677 Views
Mtunzi : Eric J Shigongo SEHEMU YA 01 Sauti kubwa ya muziki ilikuwa ikisikika, huku watu wengi wakionekana kurandaranda huku na kule katika eneo maarufu la Sinza Afrikasana jijini Dar es...
7 Reactions
180 Replies
40K Views
Nimewasamehe wale mashabiki maandazi mlionioponda sana kwenye nyuzi zangu za michezo hasa tathmini na maono yangu juu ya timu yenu. Sasa leo kwa uzalendo mkuu napiga nyanga mshinde walau moja au...
6 Reactions
64 Replies
2K Views
Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma)...
39 Reactions
263 Replies
21K Views
12 years ago today, Britney Spears released her seventh studio album, 'Femme Fatale.'
0 Reactions
1 Replies
455 Views
3 years ago today, Dua Lipa released Break My Heart as the third single from 'Future Nostalgia.'
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Naomba nijuzeni, ni zipi simulizi, hadithi, riwaya bora jf kwa mwaka 2021 hadi sasa 2022?
0 Reactions
20 Replies
6K Views
MAMA WA KAMBO* *SEHEMU YA 01 Mpyaa[emoji91][emoji91] Basi lilianza safari ya kuelekea jijini Dar es Salaam nami nikiwa mmoja wa abiria tuliokuwa tumepanda, ikiwa ni safari yangu siyo ya mara ya...
16 Reactions
188 Replies
94K Views
Back
Top Bottom