Mikwaju 50 kutoka kwa Dunga

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,014
9,883
MIKWAJU 50 KUTOKA KWA DUNGA

1679842328150.jpeg


Nilianza KUSIKIA kazi zake akiwa na ndugu yake aitwaye SHAKII, huku wakisuka MIDUNDO mikali.

Miaka ikaenda, nikamsikia akifanya ushirika na LAMAR pale 41 RECORDS.
Lakini pia aliwahi KUPITA PINNACLE PRODUCTION, kote huko alikopita hakusahau kuweka sign tune yake ya MANDUGU DIGITAL na alipojipatia milki yake akaja na MTINDO aliouita BOUNCE.

Namwongelea AMBROSE DUNGA, mtaalam aliyeziDUNGA beats kali, producer aliyeingiza voko kwenye intro, outro, ndani ya ngoma, bridge na hata chorus.

DUNGA alikuwa MIONGONI mwa producers waliofanya wasanii waende studio na vesi bila Chorus wakiwa na uhakika angemaliza baada ya kunyonga biti na kusikiliza vesi za MSANII.

DUNGA pia amekuwa akifanya mixing na mastering ya wasanii TOFAUTI AKIWEMO MEX CORTEZ.

DUNGA alifyatua mikwaju ya moto ifuatayo;
1. BANG BANG ORIGINAL- NAKO TO NAKO SOLDIERS
2. I SAY - BOU NAKO FT NAKAYA
3. PIPI YA KIJITI - LANGA
4. PESA - LANGA FT JIDE
5. ZAMU YANGU - JOH MAKINI
6. RING ON IT - TNG SQUAD
7. BABA STYLES - NOORAH
8. SO HAPPY - BLACK RHYNO FT NOORAH
9. CHOCHOTE POPOTE - JOH MAKINI
10. NATAMANI - MB DOG FT ENIKAH
11. ANITA - MATONYA FT JIDE
12. NIMECHOKA - LORD EYES FT NAZIZ
13. MR POLITICIAN - NAKAYA
14. MKAO WA KULA - MANYIGU
15. KAZI IPO - TMK WANAUME
16. UMRI - TMK WANAUME
17. DUDE LA KIMATAIFA - CHEGGE FT TEMBA
18. DAR MPAKA MORO - TMK
19. MKUU WA MKOA - O TEN FT SOPRANO
20. WORLDWIDE BACHELORS - IBRAH, LOON, D- GRID
21. NJABHALE - MANDUGU DIGITAL
22. DEMU WANGU AMEMNOK DJ- UNKNOWN
23. HUSTLERS - NOORAH, D - GRID, RAY C
24. NIPENI DILI - NGWEA FT DARKIE
25. SAMAKI - GALATONE
26. KARIBU KIUMENI - CHEGGE FT NGWEA
27. BAKI NA MIMI - MR BLUE
28. INDEBE - NIKKI MBISHI
29. KICHAA CHA MBWA - NIKKI MBISHI
30. GODZILLA - GODZILLA FT MAIRA
31. ULIMWENGU WA WAPENDANAO - JOH MAKINI FT ENIKAH
32. FIESTA - RAY C
33. SIANGALII NYUMA - RAY C
34. UKO JUU - JIDE
35. UKO JUU - JIDE FT CHID
36. TUNAENDANA - WARWIL FT PIPI
37. HAPO SAWA - PROF JAY
38. KARIBU NYUMBANI - PROF JAY, BAMBOO
39. SANAA - LORD EYES FT JOH MAKINI
40. KAZI YANGU - IBRAH FT KHETTIE
41. REVOLUTION - NAKO TO NAKO
42. WANENE, WEMBAMBA - WARWIL
43. USINIHUKUMU DADA - NAKAYA FT JIDE
44. MNYAMWEZI - WARWIL FT CHEGGE
45. SHAME - NAKAYA
46. SIWEZI - MWASITI
47. MY BOO RMX - Q CHILLA
48. WAYAJUE - ROTA FT RICH MAVOKO
49. I'M GOING - ROTA FT FONABO
50. BONGO FLEVA - JCB

Extra;
51. MSELA - LWP
52. LIFE STYLE - DAZ BABA FT SLAUGHTER
53. HISIA - KIKOSI FT LUFU, ONE BLOOD
54. KUISHI NA WATU - DOLLO FT DOMO

Changamshabongo;
1. UTAKE ANTHEM - AY, BABA LUKU, JUA CALI
2. HIP HOP BILA MADAWA- KIKOSI
3. UKO WAPI - O TEN, AY, NONINI
BEATS ZA NGOMA HIZI ZILIPIGWA NA NANI??

Akiwa 41 RECORDS alishirikiana na LAMAR kuzipika ngoma zifuatazo, huku nyingine akiingiza na sauti zake kabisa;
1. HAO - MWASITI FT CHID BENZ
2. NINAPOTOKA - GEEZ FT JOH MAKINI
3. WHY - SQUEEZER, DATAZ
4. SUNSHINE - IMAM FT NAKAYA
I GOT ALL MY RESPECT
💪
💪
💪
TO THE PROFESSIONAL DUNGA FOR HIS VOCALS AND INSTRUMENTATION.
Ngoma gani zimesahaulika kwenye ORODHA?
Ngoma gani ilikukosha Sana?

LUAH
MWANDISHI WA AINA YAKE.
 
Kweli mkuu.. ila natamani nijue hivi huwa baada ya yale maisha huwa wanaishije?

Mfano huyo lamar now anafanya ishu gan?
Kina Mh. Temba
Kina Ferouz na wengineo?
Kuna kipindi haswa mwanzoni mwa magu era alikuw na carwash bdae akawa afanya biashara ya kuuza chakula (biryani)
Ila najiuliza sana fishcrab record imekufaje kufaje 🤦🏿‍♂️
Nasikiliza Rackaz - Rackaz Anthem
 
Kweli mkuu.. ila natamani nijue hivi huwa baada ya yale maisha huwa wanaishije?

Mfano huyo lamar now anafanya ishu gan?
Kina Mh. Temba
Kina Ferouz na wengineo?
Ferouz alijitupa kwenye madini huko.
Temba hajulikani...

Wengine ndio kama hivyo tukija kuwaona washapoteza kwa stress
 
Vijanaa fungeni mikanda,Fungeni mikanda,Haiyaaaaa.............Alikuwa anapenda sana kuongiza vionjo kwenye nyimbo alizokuwa anazalisha.

Mandugu Digital..........Mandugu lavi davi.......Kunguru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom