Leo nimeshuhudia maajabu huku mtaani!

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,103
26,965
Kuna mahali nimekaa napata kilaji, kuna nyimbo zimepigwa hata sijaamini.

Hii ni aina ya miziki ambayo ni ngumu kuisikia mitaani, kuna jamaa yangu aliwah niambia kuwa nasikiliza nyimbo ambazo hazisikilizwi kabisa mtaani. Na ni kweli katika pita pita zangu ni ngumu sijawahi zisikia, labda kidogo ile migahawa ya Mlimani City ila cha ajabu ni nyimbo ambazo zinatazamwa zaidi Youtube na kwenye streaming platform zote zinafanya maajabu.

Sasa huyu Dj huku Kimara kapiga hizi nyimbo
Mama-William Singe x Jomas Blue
Levitating-Dua Lipa
Solo-Demi Lovato & Clean Bandit
Havana-Camilla Cabello
Work from home-Fifth Harmony

Labda pengine zimelia tu bahati mbaya, ila hii ndo trend music ya sasa, mimi huwa naona wasiosikiliza pop wanakosa vingi sana.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mahali nimekaa napata kilaji, kuna nyimbo zimepigwa hata sijaamini.

Hii ni aina ya miziki ambayo ni ngumu kuisikia mitaani, kuna jamaa yangu aliwah niambia kuwa nasikiliza nyimbo ambazo hazisikilizwi kabisa mtaani.Na ni kweli katika pita pita zangu ni ngumu sijawahi zisikia, labda kidogo ile migahawa ya Mlimani City.ila cha ajabu ni nyimbo ambazo zinatazamwa zaidi Youtube na kwenye streaming platform zote zinafanya maajabu.

Sasa huyu Dj huku Kimara kapiga hizi nyimbo
Mama-William Singe x Jomas Blue
Levitating-Dua Lipa
Solo-Demi Lovato & Clean Bandit
Havana-Camilla Cabello
Work from home-Fifth Harmony

Labda pengine zimelia tu bahati mbaya,ila hii ndo trend music ya sasa,mi huwa naona wasiosikiliza pop wanakosa vingi sana.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Depal
Demi
raraa reree
Extrovert
To yeye
Nuzulati
Njoeni mshuhudie maajabu ya pombe.

Bongo ukifa kwa stress unaenda motoni🤣
 
I never meant to leave you hurtin’
I never meant to do the worst thing
Not to you…this solo, solo, everybody

Coz every time I read your message
I wish I wasn’t one of your exes
Now I’m the fool..

Since you been gone
I’ve been dancing on my own
There’s boys up in my zone
But they can’t turn me on
Coz baby, you’re the only one I’m coming for
I can’t take no more, no more, no more 🤒🤒

Yooh wkend ends like shwaaaa
It’s almost juma3 kasoro 🏃‍♂️😂😂
Msanii
 
Kuna mahali nimekaa napata kilaji, kuna nyimbo zimepigwa hata sijaamini.

Hii ni aina ya miziki ambayo ni ngumu kuisikia mitaani, kuna jamaa yangu aliwah niambia kuwa nasikiliza nyimbo ambazo hazisikilizwi kabisa mtaani.Na ni kweli katika pita pita zangu ni ngumu sijawahi zisikia, labda kidogo ile migahawa ya Mlimani City.ila cha ajabu ni nyimbo ambazo zinatazamwa zaidi Youtube na kwenye streaming platform zote zinafanya maajabu.

Sasa huyu Dj huku Kimara kapiga hizi nyimbo
Mama-William Singe x Jomas Blue
Levitating-Dua Lipa
Solo-Demi Lovato & Clean Bandit
Havana-Camilla Cabello
Work from home-Fifth Harmony

Labda pengine zimelia tu bahati mbaya,ila hii ndo trend music ya sasa,mi huwa naona wasiosikiliza pop wanakosa vingi sana.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Really
 
I never meant to leave you hurtin’
I never meant to do the worst thing
Not to you…this solo, solo, everybody

Coz every time I read your message
I wish I wasn’t one of your exes
Now I’m the fool..

Since you been gone
I’ve been dancing on my own
There’s boys up in my zone
But they can’t turn me on
Coz baby, you’re the only one I’m coming for
I can’t take no more, no more, no more 🤒🤒

Yooh wkend ends like shwaaaa
It’s almost juma3 kasoro 🏃‍♂️😂😂
Msanii
This turns me on, such sweet💋 messmeraising lyrics💯💢🎵🎶

Loh
 
Back
Top Bottom