Njooni mtazame kazi hii ya kitanzania

nasrimgambo

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
1,858
2,348
Link ipo chini, katazame huko youtube, like na u subscribe asante sana.

Filamu Pictures, wanawaletea kazi ya filamu ya kitanzania iitwayo PETE

Kutana na Bwana Lidawi, mvuvi mwenye hali ngumu na mke mgonjwa na jinsi anavyoingia matatizoni kutokana na pete ya maajabu iliyofika katika ulimwengu wa wanadamu kwa ajili ya kazi maalum

Kutana na Bwana Songolo mtu tajiri, mkorofi na mkali sana, ambaye nae anajikuta yuko katikati ya mikasa hiyo ipatayo bwana Lidawi

 
Karibuni huko youtube, kutazama na kulike na kusubscribe,

Msisahau kutoa maoni yenu
 
Amini amini nawaambia, kazi yetu ni kali sana, nendeni youtube mkaitizame na kusubscribe pia, hakika nawaambia katu hamtojutia
 
Bongo movie sijisumbui kupoteza MB
Kuna watu tupo kwenye tasnia kufanya kila tunaloweza kuleta mabadiliko, tupe nafasi

Hebu jaribu kuingia katika linki yetu ukaone tunachojaribu kufanya na tusikie maoni yako maana hayo ndio yatatuboresha sisi na tasnia kwa ujumla
 
Jamani kazi ipo youtube inaitwa PETE hadi sasa Episode tatu zishapostiwa, linki ipo juu kabisa posti ya kwanza

Tunapenda muitazame na mtupe maoni yenu ili yulipopungua tuongezeke na tulipo bora tupaimarishe maradufu
 
Jioni hii tulivu, unaweza kuisindikiza kikombe cha kahawa ama chai huku kuitazama kwa uzuri kabisa Episodes za kazi yetu iitwayo PETE, ni tamthilia ya kitanzania ambayo ipo huko youtube


 
Yani mtaipenda kabisa kabisa hiyo kazi,

Msisahau kusubscribe na kutoa maoni yenu.

Tunataka maoni kujua mtakacho turekebishe na kile ambacho tumepatia tukiboreshe,

 


Usikose kutazama Episode nne za tamthilia fupi ya PETE toka kampuni ya Filamu Pictures
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom