Ni zipi simulizi bora JF kwa mwaka 2021 na 2022?

Ni zipi simulizi bora JF kwa mwaka 2021 na 2022?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,611
Naomba nijuzeni, ni zipi simulizi, hadithi, riwaya bora jf kwa mwaka 2021 hadi sasa 2022?
 
Hii Do not shout(usipige kelele) ni bonge la simulizi sema muandishi yupo slow sana ila ni kisanga.
 
Mimi na Boss wangu ni hadithi nzuri naifuatilia pia though kuna watu wanasema sio halisia
 
Back
Top Bottom