Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Uzi huu ni kwa ajili ya Kuandika Mstari wa Nyimbo yotote Iliyowahi Kuvuma Tanzania au East Afrika halafu Utajibiwa na wataalamu kuwa ni nani aliyeimba wimbo huo. Nitaanza mimi nikiona mmeshindwa...
1 Reactions
6 Replies
662 Views
Kwa wale wapenda series basi nadhani hiki chuma cha night night ilisukwa ikasukika haswa kama ulipenda jack ryan basi na hii ipende watoto wa mjini wanasema ishi nayo [emoji16][emoji91] Series...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe amemtaka msanii wa miondoko ya HipHop nchini kuachana na muziki kama ataendelea kuikosoa serikali. Kauli ya Mwakyembe imekuja...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
bonizacharia.bz@gmail.com. Wamekuwepo wengi katika tasnia ya muziki hasa muziki wenye radha halisi ya kiafrika, na wamesaidia mengi katika kutangaza utamaduni wenye maadili ya kiafrika, lakini...
4 Reactions
5 Replies
4K Views
Nimejikuta kuwapenda hawa jamaa kwa story zao wamazodai ni za kweli ingawaje nyingi ni za kufikirika. Wewe unamkubali nani?
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Natafuta site nzuri kwa ajili ya kudownload movie kwenye simu.
1 Reactions
11 Replies
43K Views
Habari za muda huu waungwana? Naomba mwenye wimbo huo hapo juu anisaidie. Nadhani uliimbwa na Mchinga Sound kama sijakosea. Nitashukuru sana.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SITALISAHAU KABURI LAKO MADALITSO Mwandishi:Saadala Muaza --- Ilikuwa ni saa kumi na mbili takribani na dakika arobaini na saba za jioni.Sauti yako ikapenyeza hadi kwenye ngoma za sikio langu...
2 Reactions
1 Replies
646 Views
Huyu mwanamziki alimaanisha nini kusema vavavayo?
1 Reactions
8 Replies
944 Views
Jamani mwenye kulifahamu hili kundi la Muziki wa Kuiga lililokuwa na Maskani yake mjini Mbeya lilikuwa likiimbo nyimba za english hasa R&B Kwa lugha ya kiswahili huku wakiweka ujanja ujanja hadi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sijui kama ni jina hilo au la,ni kile kipindi cha yule babu anasimulia hadithi na maneno mengi ya kuchekesha .
0 Reactions
2 Replies
601 Views
Hii ni story tu kama story zingine, ila unaweza isoma. Tunapata uzoefu wa maisha kupitia watu na story zao. Yote ya hapa ni story tu. Ila si mbaya ukasoma. Ina sehemu tatu, sehemu ya pili ndio...
5 Reactions
18 Replies
4K Views
Kila nikiangalia game kwa angle zote, na kwa wataalam wote, matokeo yanasomeka USMA 1-3 YANGA. Kila mkulungwa niliyemuuliza anajibu Yanga tayari ameshachukua Kombe hilo. Nami nawatangaza RASMI...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kundi hilo linaloundwa na Watoto wenye vipaji vya kucheza na kuimba kutoka #Uganda limefanikiwa kuingia Fainali za mashindano ya vipaji ya #BritainsGotTalent ambayo kilele chake ni Juni 4, 2023...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu! Nimerudi mapema kuliko nilivyotarajia. Hii ni kutokana na sababu kadhaa Mosi, nilifanikiwa kupata device nyingine japo sio yenye vile viwango nilivyotaka lakini inaweza! Pili , watu wengi...
8 Reactions
119 Replies
13K Views
Mwanamke mmoja asubuhi akiwa na mtoto wake wa miaka 4 baada ya kutoka ukweni kumsalimia mama mkwe alikokaa kwa siku 2, ikabidi afanye kurequest uber mtandaoni ili impeleke kumrudisha nyumbani...
15 Reactions
145 Replies
11K Views
Habari Kuna filamu moja ya kihindi, televisheni ya Capital tv walikuwa wanapenda sana kuionesha, ni nzuri sana, kwa muda mrefu Nimekuwa nikiitafuta ila sijawahi kufanikiwa kupata jina lake Muvi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Chombezo : Mpangaji Sehemu Ya Kwanza (1) 15 Feb IMEANDIKWA NA : FRANK MASAI ***************** Naitwa Prince au Prince Mukuru kwa jina langu lote kwa ujumla. Baba yangu alikuwa ni mfanyakazi...
1 Reactions
39 Replies
23K Views
Song: i took a pill in ibiza by mike posner Huyu jamaa alikwenda huko ibiza na rafiki yake anayeitwa avicii ambaye alikuwa ni maarufu wakati huo. Walipofika akashangaa kuona watu hawana shobo...
1 Reactions
1 Replies
632 Views
Known for his stage names Mr. II, Sugu and 2Proud, Joseph Osmund Mbilinyi is one of the founders of Hip hop music in Tanzania. His lyrical style, which is methodical yet quick, has been mimicked...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…