Wimbo wa Ferooz maarufu kama “Wema wangu umeniponza” ni wimbo unaosimulia namna dhamana ilimponza mtunzi. Ferooz anamuwekea dhamana rafiki yake ambaye alikamatwa kwa kosa la jinai. Baada ya...
7 years ago today, Ariana Grande released her third studio album ‘Dangerous Woman.’
The Grammy-nominated album spawned hits like ‘Dangerous Woman,’ ‘Into You’ and ‘Side To Side.’ It has amassed...
Mimi huwa nasikiliza miziki ya Kicongo lakini sio mjuvi sana wa kudadavua mziki huo.
Sasa nimekuwa nikipata mkanganyiko kuhusu Wenge BCBG na Wenge Musica.
Naombeni mnijuze, haya makundi yana...
Hii ni story fupi ambayo imeombwa na bwana Gily imfikie Leejay49 pia ipite kwa hawa vijana kama mashahidi Johnnie Walker na mshamba_hachekwi
Stay tuned namaliza verse niachie ngoma comment...
Mziki wa Hip Hop unafungamanishwa na ugumu yaani u-hardcore, nyimbo nyingi za Hip Hop zinapewa sifa ya kuibadilisha jamii kifikra.
Lakini kwa bahati mbaya sana, wasanii wengi wa mziki wa aina ya...
Ilikuwa siku ya jumamosi nikiwa sina hili wala lile, nikasema acha nishike simu niingie kwenye contact list yangu mana kuna upwiru ulikuwa unanikaba koo.
Baada ya kushusha shusha nikakutana na...
RIWAYA : I WAS WRONG
SEHEMU YA 1
MTUNZI : PATRICK.CK
CONTACT : 0764294499
â Mabibi na mabwana sasa ni wakati wa
kufungua shampeni.Mbele yetu hapa tuna
chupa tano za shampeni. Shampeni ya...
Simulizi: AJIRA TOKA KUZIMU
Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Aliitazama nchi hii kwa mbali sana, aliyekuwa mkuu wake alimuonyesha kwa kutumia kidole...
Yes.
Kuanzia whatsapp status, instagram videos, tiktok na mitandao kibao wadada wamekua mstari wa mbele kutumia mziki wa bongo kwenye post zao.
Hii imekuza sana mziki wetu. Unakuta mdada gadem...
Natoa rai kwa mamlaka husika (Wizara ya utamaduni na michezo, Baraza la ssna ka taifa, TCRA etc) kufuatilia kwa umakini maudhui ya Kitimtim comedy inayoneshwa kwenye chanel 160 DSTV/Multichoice...
Mi nimfataliaji mzuri wa vipindi vya michezo kwa vituo vya redio hapa nyumbani, mara nyingi huwa nafatlia Sports Arena ya Wasafi Fm, Sports Hq ya Efm na mara moja moja kipindi cha michezo cha RFA...
Part 1
Mvua inanyesha aridhi nayo chapachapa dongo jekundu natoka kwenda kusaka, mguu mosi mguu pili mpaka kunako shamba naanza kuchimbua ili kupanda zangu karanga,
Namaliza kipande pekee baba...
7 years ago today, Adele released ‘Send My Love (To Your New Lover).’
The third single off ‘25’ became a Top 10 hit on both the United Kingdom Singles Chart and Billboard Hot 100, peaking at #5...
2 years ago today, Olivia Rodrigo released ‘Good 4 U.’
The third single off her Grammy-winning debut album ‘Sour’ debuted at #1 on the Billboard Hot 100. It topped charts globally and is...
Najua hapo zamani lugha zilikuwa zinapiga chenga na hata wanaotafisir nao saa nyingine wanaongeza chumvi kwa lugha kupiga chenga, hapa kuna subtitles kabisa zenye tafsiri sahihi.
Kila siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.