Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Ifike pahala huyu jamaa wamuache apumzike maana kwa mambo yanayoendelea sasa ni kumkosea adabu bondia bora wa muda wote na wa vizazi vyote Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior ...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
ENRIQUE IGLESIAS VS ED SHEERAN. Hero vs Perfect. . Your my number one vs Thinking out loud. . Bailando vs Shape of you. . Takin back my love vs Heartbeat. . Why not me vs photograph. . Some...
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Wakuu habari za mda leo nimeleta mada hii tujadili kwamba tangu ujio wa microgenre mpya ya hiphop 2016 iliyoanzishwa na future, Gucci mane na chiefkeef iliyo kwenye trap genre hiphop style na...
3 Reactions
77 Replies
3K Views
Katika majira ya joto ya mwaka huu, filamu ya katuni ya kichina “Chang An” (mji mkuu wa taifa la China katika enzi ya Tang) imejizolea umaarufu mkubwa. Ndani ya mwezi mmoja na zaidi tangu...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Kama mdau wa soka jana nilifuatilia na kufurahia sana sherehe ya wana-simba ambayo kiuhalisia ni tukio waliolianzisha miaka kadhaa iliyopita na linaloendelea kukua mwaka hadi mwaka. Si ajabu pia...
1 Reactions
2 Replies
435 Views
Huu wimbo ni wa kawaida sana, ni vile tu umeimbwa na Diamond. Diamond anajua, ila kwa huu wimbo hapana.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii ni kwa mujibu wa wavuti rasmi ya warner bros. hii inaifanya kuwa filam ya kwanza kutengenezwa na mwanamke kuingiza kiasi hicho cha pesa. source:cnn
1 Reactions
7 Replies
502 Views
Nakumbuka kipindi hicho tunaangalia Rocky ya Rambo na huku tukijifunza kurukiana mateke baada ya kuangalia bloodsport ya van damme. Ilikuwa ukitoka kuangalia commando ya arnold na wewe unaenda...
10 Reactions
165 Replies
8K Views
Morogoro ni mji WA vipaji na vituko kila siku toka enzi Za afande sele , o. Ten, stamina , Jack simela r. I. P no wengineo taja wasanii wengine WA morogoro tuwape shout out apa Kwa uwepo wao
1 Reactions
4 Replies
682 Views
Nlikuwa na CD yao ikapasuka. Kama kuna mtu ana ngoma zao anisaidie. Ukiwepo wimbo: Usiniache Bwana Natanguliza shukrani 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Hapa nimeshangazwa na ujasiri wa Dj aliye zamu leo RFA maana anapiga nyimbo za mixtape za Anti Virus live live ni matusi matusi tu. Kama hamtaamka na barua ya TCRA asubuhi Mungu yupo nanyi...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Yamenikuta Kama yaliyotokea kwenye hz movie. Dhadkan upande wa sunnly shet Tere ma'am. Darr.upande wa sharukhan. Dil karshta upande wa Arjun rampal n hvo tu
1 Reactions
13 Replies
934 Views
Kiongozi na mwimbaji mkongwe wa bendi ya 'Twanga Pepeta' luiza Mbutu amefunguka na kuonyesha kukerwa kwake na tabia ya baadhi ya wasanii wa filamu na bongofleva wanaojihusisha na skendo za...
1 Reactions
22 Replies
16K Views
....Siooo leeeeeo toka zamani, Mnyama hana mpinzani.....
1 Reactions
15 Replies
3K Views
SEHEMU 1 Hapo zamani za kale enzi za akina nabii mfalme Daud huku Israel kulikuwepo na nabii mmoja kwenye himaya ya Uingereza aliyekuwa akijulikana kwa jina la nabii Johnson Petersburg (45)...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kisiasa na kijamii, Je, ujumbe huu wa Maalim Nash una reflection yoyote kwenye maisha ya Tanzania kwa sasa? Sikiliza kuanzia mwanzo hadi dakika ya 1:30 -Kaveli-
2 Reactions
37 Replies
2K Views
1.jumba la dhahabu[emoji1241]-Tuesday kiangala 2.siri ya mtungi[emoji1241]-watu wamarekan 3.jua kali[emoji1241]-leah lamata 4.binadamu[emoji1241]-kitale 5.game of love[emoji1241].-musa banz...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
"Mariano Mariano nilikua nampango mmoja ,nikaingia kwa benk nikashika risasi nikasema lala chin bas mm uyo basi mm uyo nikaubeba mzigo naendesha gari na zinanyesha kama mvu" Kma nmekosea...
1 Reactions
4 Replies
491 Views
Je, wajua "The Gods must be Crazy Movie" Muigizaji mkuu wa "The Gods Must Be Crazy", N!xau Toma, alilipwa $300 pekee, ingawa filamu iliyotayarishwa mwaka wa 1980 ilitengeneza zaidi ya $200...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nisipoteze muda, moja kwa moja kwenye mada. Beat hiyo hapo chini kwa wajuzi unaweza kusikiliza na kutoa feedback, wapi hapako sawa, wapi na nini kimevuruga, nini niongeze na nini nipunguze nk...
1 Reactions
12 Replies
868 Views
Back
Top Bottom