Wasalaam,
Muziki au matangazo ya kibiashara ni vitu vinaweza kutukumbusha hazina ya muda na mambo mazuri tuliwahi kuwa nayo zamani
Binafsi siwezi kulisahau tangazo la dawa ya kuzibia pancha...
Nakumbuka mara ya kwanza kuona tamthiliya ya Iris ilikuwa ni ITV pale mwaka 2013 kama sio 2014 kipindi hicho hata smartphone sina.
Nilivyoiona tu mara ya kwanza sijui ilikuwaje lakini tangu hapo...
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa, kwamba Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtumia Barua ya wito TRUE BOY likimuhitaji kwa Mahojiano kuhusu Kibao chake kabambe alichokitoa hivi karibuni, bado...
Story inahusisha jamaa wanne na mdada mmoja, kwa pamoja wanakuwa MTU TANO.
Jamaa walijihusisha na utoaji wa misaada kwa jamii, si kanisani wala misikitini, kote walialikwa na huko walitoa pesa na...
Nyota zote za angani, zimulike pendo lake
Ndege wote wa nyikani, waliimbe jina lake
Vipepeo wa kondeni, wasifu uzuri wake
Kanifumbata rohoni, mimi kinda mbele yake
Mbingu zitamuangaza, maisha...
Hawa jamaa wamejitoa mhanga haswa maana kwa Africa ukiwa mkweli wewe ni adui. Hawa jamaa wamekuwa wakweli sana katika kufumua maovu na uchafu unaifanywa na hawa wachumia tumbo. Hio ndio maana...
Sijui nitaupataje.
Unaimbwa na kwaya za kilutheri. Haya ni baadhi ya maneno:
"Imetupasa kushukuru mno kwa neema yake....mimi na wewe leo wazima, hiyo ni neema...wenzetu hawapo wamekosa...
Habari za muda Huu wanajamvi
Kuna Nyimbo Jina na mwimbaji nimeisahau ni ya muda Kidogo video inaponyesha jamaa na mpenzi wake wameshika mtutu wa bunduki (AK 47) then jamaa anarap ni bonge Moja...
WAKUU
Nilikua natafuta SOUNDTRACK ya movie ya MY DARLING ya Mussa Banzi ndani ya ile movie kaimba yule KIPOFU aliitwa TAFU
Eeebwana eeeh lile Beat sijui alinyonga P FUNK MAJANI
Maana ni balaa...
WIMBO: 𝙄𝘿𝘼
MWIMBAJI: 𝙁𝙍𝘼𝙉𝘾𝙊 𝘼𝙉𝘿 𝙏𝙋𝙊𝙆 𝙅𝘼𝙕𝙕 -
TAFSIRI : 𝙎𝙐𝙇𝙀 𝙈𝙆𝘼𝙉𝘿𝘼𝙍𝘼𝙎𝙄
*************************
Ndenge toyokanaki ngai na yo e
ndenge tolakanaki ngai na yo e
Ata ko nasali mabe oh
Okoki...
Aisee sikuwahi kujua kama wimbo wa Maria ulioimbwa na mwanamuziki Fally Ipupa umetoka miaka 4 iliyopita,mimi nilipousikia mwaka huu na ulipovuma sana nikadhani ni wimbo mpya kumbe ushakula chumvi...
Kwanza naunga mkono uwekezaji katika bandari yetu, lakini sio kwa mkataba huu, naomba kasoro zirekebishwe. Niende moja moja kwenye mada.
Nimeangalia na kufuatilia series na movie nyingi za...
Naomba kufahamu naweza kupata wapi lyrics za nyimbo za kibongo hasa hizi za rap.
Nyimbo ya Bagdad ft Climax bibo inaitwa waniwie radhi naweza pata wapi lyrics yake?
Hiyo nyimbo wametumia beat ya...
Mwaka 2009 Abdallah Khamis(mchezaji mpya wa simba) alimaliza kidato cha nne na mdogo wangu Nkende Sec kule Tarime mjini.
Kipindi hicho alikuwa anacheza ligi ya wilaya na mkoa kupitia timu ya...
Wakuu
Tangu muziki huu ulipoanza kusikika nchini kutokea huko south Africa.
Sasa imekuwa fashion kila wimbo unaotoka basi jua ni amapiano tu na tumezoea imekuwa kawaida kabisa.!
Mpaka wazee nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.