Wote nawakubali coz they tell us the truthNimejikuta kuwapenda hawa jamaa kwa story zao wamazodai ni za kweli ingawaje nyingi ni za kufikirika. Wewe unamkubali nani?
Naona kila siku nyuzi za kumpambanisha UMUGHAKA na waandishi wengine zimepamba moto,kama ndivyo huyu bwana UMUGHAKA ndiye mfalme wa simulizi kwasababu kila mwandishi anapambanishwa nae.Nimejikuta kuwapenda hawa jamaa kwa story zao wamazodai ni za kweli ingawaje nyingi ni za kufikirika. Wewe unamkubali nani?
Hawa jamaa Kama ni kweli wamepitia hayo wanayosimulia basi Kila kitu kwao kinawezekana[emoji848]mbona kama wote ni wapambanaji sio mchezo ujue, chaajabu mughaka ameisha shika pesa bandia, bunduki ..etc
Kwa upande wa Analyse [emoji91] huyu apostle ana mabalaa yake, maana ukiingia town ni most wanted!! Amepiga dili za hatari[emoji44]usipime. Mashangazi mziki wake hawawezani nao[emoji1787][emoji28] anyway ingekuwa ni nyimbo ninge wakutanisha studio waingize voko zao na chorus lazima Jack Daniel angepitamo.[emoji28]
Tunawashukuru wote[emoji120][emoji120]
Hii inaitwa mama mkanye mwanao. Sioni siku za usoni akikuita tena 😄Umenitaja kwasababu ipi katika huu Uzi usionihusu? Kuna Watu ni Wapumbavu mno yaani mnaanzisha Threads kwa ID"s zingine na mkiona Uzi haujachangamka ( Umedorola ) kwa Watu Kuuchangia mnamtafuta GENTAMYCINE kwa ID"s zingine tena kwa Kumtaja kama hivi ili nikijibu na tukijibizana Uzi utembee.
Asante Mwenyezi Mungu kwa Nyota.