CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,869
- 16,014
Kila nikiangalia game kwa angle zote, na kwa wataalam wote, matokeo yanasomeka USMA 1-3 YANGA.
Kila mkulungwa niliyemuuliza anajibu Yanga tayari ameshachukua Kombe hilo.
Nami nawatangaza RASMI MABINGWA WAPYA WA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA KUWA NI DAR YOUNG AFRICANS.
MATOKEO YA JUMLA YATAKUWA USMA 3-4 YANGA.
MAYELE akifunga Goli zuri la KICHWA.
Aziz akifunga kwa mkwaju mkali wa nje ya Box, huku Goli moja likiweka na kati ya MORRISON, MUSONDA AU KISINDA.
Nitafuteni Game ikiisha.
Napatikana SINZA KANISANI/VATICAN tujumuike tulewe na kufurahia ushindi huu muhimu kwa nchi.
MAKOLO MULI BWANJI.