ROMA achana na muziki - Waziri

ROMA achana na muziki - Waziri

Happycuit

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
646
Reaction score
542
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe amemtaka msanii wa miondoko ya HipHop nchini kuachana na muziki kama ataendelea kuikosoa serikali.

Kauli ya Mwakyembe imekuja kutokana na Roma kuachia wimbo juzi unaojulikana kwa jina la Anaitwa Roma aliomshirikisha One Six.

"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa.

"Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi.

"Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa."
 
Shahada nne huku unakula ARV,kweli shahada nne ulishindwa kuzitumia hadi unapiga pekupeku. Matokeo yake ukapata ngoma,ukaugua ukasingizia umepewa sumu. Mkeo kaenda kwa ngoma uliyomuambukiza. Kama shahada nne ni kuua mkeo kizembe kwa kumuambukiza ngoma. Wallah bora la saba.
 
Kuwabagua watu kutokana ni la saba sio maneno makubwa ? Sasa kam shahada nne zimeshindwa kukusadia kukumbuka condom kujilinda na HIV si bora wa la saba anaeimba na hana ngoma.
Ama kweli ni ubaguzi....na matusi juu,

Ina maana wanaoruhusiwa kukosoa ni kuanzia digrii 5 na kuendelea ila hawa kina NANDY,DIAMOND wanaosifu juhudi ni la saba S ......hahaaaaa akutukanaye hakuchagulii tusi
 
Shahada nne huku unakula ARV,kweli shahada nne ulishindwa kuzitumia hadi unapiga pekupeku. Matokeo yake ukapata ngoma,ukaugua ukasingizia umepewa sumu. Mkeo kaenda kwa ngoma uliyomuambukiza. Kama shahada nne ni kuua mkeo kizembe kwa kumuambukiza ngoma. Wallah bora la saba.
What if aliyemuumbikiza ni mke wake,au siku hizi ngoma wanaambukiza wanaume tu,najaribu kuwaza tu,naona Kama haviingiliani
 
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe amemtaka msanii wa miondoko ya HipHop nchini kuachana na muziki kama ataendelea kuikosoa serikali.

Kauli ya Mwakyembe imekuja kutokana na Roma kuachia wimbo juzi unaojulikana kwa jina la Anaitwa Roma aliomshirikisha One Six.

"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa.

"Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi.

"Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa."
kwani Kawe Alumni anasemaje kuhusu hili?
 
Chanzo ni huyo mr shahada nne.
1573944547132.png
1573944558731.png
 
Shahada nne huku unakula ARV,kweli shahada nne ulishindwa kuzitumia hadi unapiga pekupeku. Matokeo yake ukapata ngoma,ukaugua ukasingizia umepewa sumu. Mkeo kaenda kwa ngoma uliyomuambukiza. Kama shahada nne ni kuua mkeo kizembe kwa kumuambukiza ngoma. Wallah bora la saba.
Mh
 
Mmh! Labda ile sumu kiasi fulani ilikimbilia kichwani.
 
Hivi mkewe nini kilimuua
Shahada nne huku unakula ARV,kweli shahada nne ulishindwa kuzitumia hadi unapiga pekupeku. Matokeo yake ukapata ngoma,ukaugua ukasingizia umepewa sumu. Mkeo kaenda kwa ngoma uliyomuambukiza. Kama shahada nne ni kuua mkeo kizembe kwa kumuambukiza ngoma. Wallah bora la saba.
 
Shahada nne huku unakula ARV,kweli shahada nne ulishindwa kuzitumia hadi unapiga pekupeku. Matokeo yake ukapata ngoma,ukaugua ukasingizia umepewa sumu. Mkeo kaenda kwa ngoma uliyomuambukiza. Kama shahada nne ni kuua mkeo kizembe kwa kumuambukiza ngoma. Wallah bora la saba.
Nilikuwa sifahamu kumbe huyu jamaa naye nyumaba yake kavutia umeme ?
 
Mzee kakurupuka tumsamehe bure tuu, Harmonize, Mondi & Nandy mbona hakuongea walivyotoa nyimbo zao au walitaka praise & worship ziendelee.. Tunaharibia weekend kizembe sana, maza fanta..
 
Back
Top Bottom