Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Huyu mwanamziki alimaanisha nini kusema vavavayo?
1 Reactions
8 Replies
944 Views
Jamani mwenye kulifahamu hili kundi la Muziki wa Kuiga lililokuwa na Maskani yake mjini Mbeya lilikuwa likiimbo nyimba za english hasa R&B Kwa lugha ya kiswahili huku wakiweka ujanja ujanja hadi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sijui kama ni jina hilo au la,ni kile kipindi cha yule babu anasimulia hadithi na maneno mengi ya kuchekesha .
0 Reactions
2 Replies
600 Views
Hii ni story tu kama story zingine, ila unaweza isoma. Tunapata uzoefu wa maisha kupitia watu na story zao. Yote ya hapa ni story tu. Ila si mbaya ukasoma. Ina sehemu tatu, sehemu ya pili ndio...
5 Reactions
18 Replies
4K Views
Kila nikiangalia game kwa angle zote, na kwa wataalam wote, matokeo yanasomeka USMA 1-3 YANGA. Kila mkulungwa niliyemuuliza anajibu Yanga tayari ameshachukua Kombe hilo. Nami nawatangaza RASMI...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kundi hilo linaloundwa na Watoto wenye vipaji vya kucheza na kuimba kutoka #Uganda limefanikiwa kuingia Fainali za mashindano ya vipaji ya #BritainsGotTalent ambayo kilele chake ni Juni 4, 2023...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu! Nimerudi mapema kuliko nilivyotarajia. Hii ni kutokana na sababu kadhaa Mosi, nilifanikiwa kupata device nyingine japo sio yenye vile viwango nilivyotaka lakini inaweza! Pili , watu wengi...
8 Reactions
119 Replies
13K Views
Mwanamke mmoja asubuhi akiwa na mtoto wake wa miaka 4 baada ya kutoka ukweni kumsalimia mama mkwe alikokaa kwa siku 2, ikabidi afanye kurequest uber mtandaoni ili impeleke kumrudisha nyumbani...
15 Reactions
145 Replies
11K Views
Habari Kuna filamu moja ya kihindi, televisheni ya Capital tv walikuwa wanapenda sana kuionesha, ni nzuri sana, kwa muda mrefu Nimekuwa nikiitafuta ila sijawahi kufanikiwa kupata jina lake Muvi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Chombezo : Mpangaji Sehemu Ya Kwanza (1) 15 Feb IMEANDIKWA NA : FRANK MASAI ***************** Naitwa Prince au Prince Mukuru kwa jina langu lote kwa ujumla. Baba yangu alikuwa ni mfanyakazi...
1 Reactions
39 Replies
23K Views
Song: i took a pill in ibiza by mike posner Huyu jamaa alikwenda huko ibiza na rafiki yake anayeitwa avicii ambaye alikuwa ni maarufu wakati huo. Walipofika akashangaa kuona watu hawana shobo...
1 Reactions
1 Replies
632 Views
Known for his stage names Mr. II, Sugu and 2Proud, Joseph Osmund Mbilinyi is one of the founders of Hip hop music in Tanzania. His lyrical style, which is methodical yet quick, has been mimicked...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwa wale mnaofatilia tamthilia hii mtaungana nami kuwa director Lamata analazimisha kuongeza matukio ili ivutie lakini katika uhalisia ilipaswa iwe imeisha siku nyingi. Bill kashajua mama yake ni...
-1 Reactions
11 Replies
3K Views
[emoji3591]Nimemaliza kusoma kitabu cha mchezo wa kuigiza, kinachoitwa "Aliyeonja Pepo" kilichotungwa mwaka 1973 na mtunzi Farouk Topan, nikajikuta nakumbuka kisa cha kweli.maishani kilichomsibu...
2 Reactions
2 Replies
689 Views
Aisee tafuta BREAKING BAD.bonge la dude
9 Reactions
74 Replies
8K Views
Sasa tuko pekee yetu, room iko bright kama mchana, nimekodolea dem smooth skin macho namkagua akiunbutton blouse. Hakutoa. Akainua rasa akaunzip skirt nyuma. Hakutoa. Bado nimesimama kidwanzi...
0 Reactions
0 Replies
397 Views
Ni mpenzi mkubwa wa muziki hasa nyimbo za zamani kizungu tunaita old school,flash back kibongo zilipendwa list yangu pendwa ni hii nasikiliza kila siku ngoma zinaishi damuni yaani kuna...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina majonzi mazito ya kufiwa na ndugu John Wick baada ya kumaliza kutazama chapter 4. Bado sijajua kuomboleza huku kutaisha lini. John Wick alikua kama kaka na mshauri mkubwa. Mbele yake nyuma...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
MREMBO GANI AMETUPATIA NGOMA KALI ZAIDI???? Orodha hii inakuletea warembo watano waliosumbua akili za wasanii wa Bongo fleva mpaka wakawaandikia nyimbo. 1. CHRISTINA MANONGI "SINTA" Juma Nature...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba kuulizia habari za huyu jamaa maana nimeona anatrend sana. Aliye na taarifa nae tafadhari.
0 Reactions
3 Replies
425 Views
Back
Top Bottom