Series ya night agent ni moto sana [emoji91]

Series ya night agent ni moto sana [emoji91]

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,173
Reaction score
1,488
Kwa wale wapenda series basi nadhani hiki chuma cha night night ilisukwa ikasukika haswa kama ulipenda jack ryan basi na hii ipende watoto wa mjini wanasema ishi nayo [emoji16][emoji91]

Series imejaa mambo mengi mno

Peter thunderland ni ofsa wa FBI siku hiyo anaitwa ofsin na kupewa kitengo cha night action katika chuma cha mawaliono Yaani yeye kazi ni kupokea simu kutoka Kwa agent walio matatizoni badala yake anapoke simu toka mwanadada rose

Huku akiwa na wasiwasi anakwambia Peter nina tatizo nyumba yetu imevamiwa na majambazi nahitaji msaada wa haraka KWANi wauaji wanamfwata na yeye mwamba inabadi ampe maelezo namna ya kumkwepa muuaji

Alimwambia aende chooni afunge mlango Kwa nje alafu akajifiche kwingine akamwambia ikitokea amekuona pambana kama huko kuzimo (fight like hell)

Binti anaokolewa usiku salama salmini lakini kizaazaa kinaanza usiku huo [emoji91]

Embu muitafute Mimi sio mwandishi mzuri ase

List zingine ni hizi

Mayor of kingstone season 2
Gang of London
Jack Ryan
Shadow and bone
Gangster land
Wolf pack


John wick chapter 4 we waiting [emoji91]
 
Wolfpack ni upuuzi mtupu labda kwa vile nilikua nataka ifanane na TeenWolf,

Shadow and Bone ni motoooooo
 
Gang of london sijaiona ila wana mnaipa mashavu,plot yake ipoje
 
Gang of london sijaiona ila wana mnaipa mashavu,plot yake ipoje
Mambo ya kimafia biashara zote za unga silaha na watu Yani ndo kuna dunia ya kimafia mambo yote yapo humu
 
Night Agent
Gangs of London
Top Boy
 
Aisee! ntazitafuta zote hzo nkipata kitendea kazi.
 
Ukweli usemwe, night action ni movie moja mbovu sanaaa, ina migogoro ya movie za zamaniii, yan kama umechek movie nyingi huwez ichek ile movie mana ina marudio mengi sana ya visa vya movie nyingine
 
Ukweli usemwe, night action ni movie moja mbovu sanaaa, ina migogoro ya movie za zamaniii, yan kama umechek movie nyingi huwez ichek ile movie mana ina marudio mengi sana ya visa vya movie nyingine

Kweli kabisa, mimi nilijitahidi lakn ilipofika episode ya 3 uzalendo ukanishinda nikaipiga chini. Ni ya hovyo mno
 
Back
Top Bottom