Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,410 Reaction score 42,397 Jun 4, 2023 #1 Huyu mwanamziki alimaanisha nini kusema vavavayo?
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,347 Reaction score 62,347 Jun 4, 2023 #2 Toa hizo V zote uweke M ndo maana yake
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 20,024 Reaction score 16,131 Jun 4, 2023 #3 Lucha said: Toa hizo V zote uweke M ndo maana yake Click to expand... Du...kwa hiyo jamaa kalipuliwa?!
Lucha said: Toa hizo V zote uweke M ndo maana yake Click to expand... Du...kwa hiyo jamaa kalipuliwa?!
Cetshwayo Kampande JF-Expert Member Joined Nov 28, 2018 Posts 1,405 Reaction score 3,266 Jun 4, 2023 #4 Mungu baba tusemehe tumelewa,hii dunia Kuna watu wanakeraaa
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,410 Reaction score 42,397 Jun 4, 2023 Thread starter #5 Zamaulid said: Du...kwa hiyo jamaa kalipuliwa?! Click to expand... Duuuh sikuwahi kuwaza hivi;..... Kumbee
Zamaulid said: Du...kwa hiyo jamaa kalipuliwa?! Click to expand... Duuuh sikuwahi kuwaza hivi;..... Kumbee
Katkit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2023 Posts 1,907 Reaction score 4,721 Jun 5, 2023 #6 kiitikio cha "mama aminaaa"
Mbeba Lawama JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 1,148 Reaction score 3,872 Jun 5, 2023 #7 Iyo ndio kaz ya fasihi kwenye sanaa
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,410 Reaction score 42,397 Jun 5, 2023 Thread starter #8 Kipare vava ni baba nahisi huyo msanii ni mpare.
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,913 Jun 5, 2023 #9 Kuo ma mao yo