SUGU: Brought Hip Hop to Tanzania

Oct 7, 2015
93
60
Known for his stage names Mr. II, Sugu and 2Proud, Joseph Osmund Mbilinyi is one of the founders of Hip hop music in Tanzania.

His lyrical style, which is methodical yet quick, has been mimicked by many of the genre’s newcomers. His peers view “his observant narratives, canny wordplay and flamboyant delivery” as a trademark of their genre.

Sugu is also the founder and director of Deiwaka Entertainment Company Limited that has dedicated itself in promoting and developing Tanzanian Read More >>>
 
Ulishawai kuwasikia hao jamaa hapo juu

Halafu kuna yule jamaa aliimba 'Mr daladala man' hiyo nadhani ndiyo rap music ya kwanza kupigwa radio Tanzania kabla ya utitiri wa maredio kama ilivyo leo.
 
Known for his stage names Mr. II, Sugu and 2Proud, Joseph Osmund Mbilinyi is one of the founders of Hip hop music in Tanzania.

His lyrical style, which is methodical yet quick, has been mimicked by many of the genre’s newcomers. His peers view “his observant narratives, canny wordplay and flamboyant delivery” as a trademark of their genre.

Sugu is also the founder and director of Deiwaka Entertainment Company Limited that has dedicated itself in promoting and developing Tanzanian Read More >>>
Sounds like sort of promo
 
Bro Kama hujui historia ya kwanza unit na diplomatz tulia
Sugu kaanza kuhit 1996 watu tunaskiliza michano tangu 93
Kasome kitabu chake amesema Wazi alikuta watu
Jamaa wa zamani walikua umarekani mwingi nyimbo hazina ujumbe. Sugu akaja na nyimbo zenye ujumbe kwa vijana; Ingawa flow yake haikua na Hadithi Kama Prof Jay aka Nigger Jay

Btw natafuta hii track
Wakati ndio huu sasa … utakoma utahenya na kithathaa
 
Yeah, Diplomatz na Kwanza Unit walikua wanawalazimisha vijana kwwnda Birmingham, ila Sugu yeye akaamua kuileta Marekani nchini na kuisuka na kui decorate kwa ladha na hali ya kibongo.
 
Back
Top Bottom