Sawa, hauna video, lakini hata kwenye redio haukuchezwa pia
(a) Ni kwamba wamiliki wa redio zetu pamoja na watangazaji wao hawana uhakika na uhuru wa vyombo vya habari walionao?
(b) Au ndo...
Usiku wa Jumamosi ya tarehe 29 mwezi Aprili ulikuwa usiku wa kutolewa tuzo za Muziki Tanzania zilizoandaliwa na kuratibiwa na Wizara inayohusika na Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Baraza la...
TUCHUKUE LIPI, TULIACHE LIPI?
STIMU ZIMELIPIWA (COPY MY MOTION)
Hii ni segment mpya ambayo itakuwa inaangazia wasanii waliotamka kauli zinazokinzana.
Tuanze na John Simon "Mwamba wa Kaskazini, Joh...
Targeted Risk is a Strangers & Freaks side mission in Grand Theft Auto V given by Dom Beasley, involving protagonist Franklin Clinton. It's the 3° mission for Dom Beasley, after the Liquidity Risk...
Assalaam,
Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha ili tushirikiane katika fursa hii ambayo, bila shaka ni njia mojawapo ya kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi miongoni mwetu.
Kama unadhani...
Naamka asubuhi, sina hata buku shi ndala
Cha kukila sijui, bora hata pa kulala
Chumbani matandabui, mende wamefanya utawala
Na mjomba panya haelewi, riziki yake hasara
Eh kwachakwacha, nakwenda...
NILINUSURIKA KUCHOMWA MOTO 1
Nilikuwa nimekaa zangu sina hili wala lile, mara simu ikaingia kutoka kwa rafik yangu, akanimbia leo unaonaje tukachek mechi pale uwanjani? Nikamwambia sina uhakika...
MOYO UNA MENGI.
Kiukweli ni mapito haya napitia
Moyo umeshindwa hauwezi kutulia
Mbona kutamka nafusi yanizuia
Nimeyabeba mengi ya huzuni moyoni.
Natamani kusema na kuyasimulia
Lakini sijui nani...
Wakuu hii ndo list ya movie zakutisha, kusumbua, mazombi, mauaji, kutesa nk
[emoji419]Trauma
[emoji419]The human centipede
[emoji419]Atrocious
[emoji419]A Serbian film
[emoji419]Terrifier...
UMASIKINI NI DHIKI,
Umasikini ni dhiki, kila siku mashakani,
Na tena hathaminiki, mtu kuwa masikini,
Fukara hana rafiki, humtenga majirani,
Ni dhiki umasikini, Umasikini ni dhiki..
Ukiwa hauna...
Mtunzi ni CK Allan
Madam President
Juni 1998
Ilikua jioni nzuri kabisa ambapo sehemu mbali mbali za jiji la Tanga Kuna Hali ya baridi na mvua nyepesi zilikua zimeanza, nikiwa na Rafiki yangu Jacob...
Pamezuka ubishi kuhusu wimbo wa "Superwoman" wa Phina na "Superwoman" wa Zuchu. Kuna mjadala mkali sana kuhusu wimbo upi umetulia kusikiliza ukiwa safarini.
Nimeamua kuileta hii mada hapa...
Binafsi kuanzia Sasa n shabik nambar uno wa muvi na series za kinaija
Hawa jamaa wanajua na wanakuja kwa Kasi ya ajabu
Kimzki wametushinda hata muvi pia wametushinda
Ukitaka kuamin maneno yangu...
THE BEST RADIO PRESENTER
EZDEN JUMANNE " EZDEN THE ROCKA"
KISS COLLABO MIX SHOW
KISS FM
SAHARA MEDIA
***
Mbali na Ezden, wafuatao ni watangazaji wa Tv na radio na Djs...
Alipita kwenye mikono ya Kameta, akapita UPTOWN RECORDS na baadaye akaja na studio yake, COMBINATION SOUNDS.
Nilianza kumsikia kwenye ngoma za msanii mmojammoja kama; Blue, Rhyno, Mb Doggy lakini...
Moja kati ya wimbo bora wa hip hop wa mapenzi ni huu wimbo kuanzia beat, sauti na ujumbe. Humo ndani kaimbiwa binti mmoja mkali wa kiafrika asiye na uslay queen.
Endelea kupumzika kwa amani huko...
Habari rafiki!
Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika safari ya kuendeleza kipaji chako!
Tunayo akaunti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.