The Kila Kitu Band

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,256
2,000
Jamani mwenye kulifahamu hili kundi la Muziki wa Kuiga lililokuwa na Maskani yake mjini Mbeya lilikuwa likiimba nyimba za english hasa R&B Kwa lugha ya kiswahili huku wakiweka ujanja ujanja hadi nyimbo inapendeza...

nahitaji sana kama kuna mtu ana tape yake maana nilibahatika kuwa nayo lakini ilikuja potea katika mazingira ya kutatanisha... nilijaribu kuitafuta bila mafanikio...

Baadhi ya Nyimbo walizoziimba kwa lugha ya kiswahili ni

Sacrifice- Elton John

Nothing gona change my love - George Benson
na nyingi nyingi zaidi
 

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,256
2,000
nenda walipokuwa wanapiga mziki wao anzia mbeya meneja wa huo ukumbi
Sidhani kama ilikuwa ni band ya kupiga kwenye maukumbi... bali walikuwa na album yao so nyimbo za slowly walizotitafsiri na kuongezea maneno yao kwa lugha ya kiswahili kama alivyokuwa akifanya Sele jabri...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom