Old school Bongo flava

supadaudi

Member
Sep 29, 2013
86
65
Kwa wale wazee wenzangu, vijana wa miaka ile, naomba mniwekee track izi kama mtakua Nazi

1.GADO ...ZAY B FT INSPECTOR HARUN

2.MTULIZE...MABAGA FRESH FT NATURE

3. KOSA LA MAREHEMU....ORIGINAL VERSION YA USWAHILINI MATOLA

4.NIDHAMU...DUDU BAYA

5.NAKUPENDA TU RMX...DUDU BAYA

6.MAMBO KAWAIDA....DK KB (MWANZA)

BARABARA....BWV (MWANZA)

Dr. Wise, Gillbiz, Kambosonic& Muladix, Sun Jacko a.k.a Wacko Goodah, Masteef, Cave Dwellers, Eddie Thang, Isanga Family, Dawg G, Crazy Power Ilunga, Adili Hisabati, Wasape, nani anazijua MTU hizo?
 
Bahati mbaya archive yangu imekosa baadhi ya nyimbo. Huo kosa la marehemu yaani siku zote upo sijui nani kaufuta.
 
Attachments

  • DUDU BAYA - NAKUPENDA TU (rmx).mp3
    6.9 MB · Views: 134
  • DUDU BAYA - NIDHAMU.mp3
    5.8 MB · Views: 155
  • Mabaga Fresh ft Juma Nature Mtulize.mp3
    3.6 MB · Views: 171
  • Zay B With Insp Haroun - Niko Gado.mp3
    4.4 MB · Views: 186
Bahati mbaya archive yangu imekosa baadhi ya nyimbo. Huo kosa la marehemu yaani siku zote upo sijui nani kaufuta.
Mkuu file not supported, kama tuma upya kwa makini au niku pm namba yng unirushie whatsapp!!?!
 
baba ubaya by doper man.

Maskini jeuri by manduli mob.

Kula kona by manzense crew.

Nini dhambi by father Nelly.

Haya yote ni maisha by madii

Si ulinikataa by solo

Kubwa kuliko by pro J

Naja by rado

Machoni kama watu by AY

Achana nao sister P
 
Dr. Wise, Gillbiz, Kambosonic& Muladix, Sun Jacko a.k.a Wacko Goodah, Masteef, Cave Dwellers, Eddie Thang, Isanga Family, Dawg G, Crazy Power Ilunga, Adili Hisabati, Wasape, nani anazijua MTU hizo?
Mkuu umenikumbusha mbali enzi hizo game la mbeya DDG gangster,soggy dog,c pwaa akina crazy mada wa isanga family,adili ana mdogo wake anaitwa ibra mkwera a.k.a magazijuto nae alikua anaweza sana
 
Mkuu umenikumbusha mbali enzi hizo game la mbeya DDG gangster,soggy dog,c pwaa akina crazy mada wa isanga family,adili ana mdogo wake anaitwa ibra mkwera a.k.a magazijuto nae alikua anaweza sana
MaTC, MTC, Loleza, Iyunga na Mount Livingston na Mkwenzulu watu wamechana sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom