Dkt Mwijuma
JF-Expert Member
- Apr 9, 2023
- 205
- 614
Ishi ukiamini ipo siku hautapata nafasi hiii unayo sasa, leo wewe mdada unaweza kukaa na na nguo yoyote beach ukiogelea ipo siku utazeeka hautaweza.
Leo unavaa nguo yoyote vimini nk kuna siku hauta vaa, hiii hali ya ujana ipo kwa mda tu kuna wazee hawakuenjoy wanataman kurudi ujana.
Mm sio team kataaa ndoa ila kuoa bila kuwajua vizuri dada zetu sio poa kula raha kijana.
Sio siku uje kuzeeka, ustaafu kazi ndio uanze kuishi ujana wakata age imekata.
Ni hayo tu.