Diamond Platnumz tambua Rais Samia sio Jakaya Kikwete

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Hii nchi enda wapi aise?

Hatuna wasomi? hatuna wasanii wanaoweza kuimba nyimbo kulingana na matukio yanayoendelea?

Msaniii mzuri ni yule anaeweza kubadilika Kwa tunzi zinazoweza badilika kulingana na hadhira na mandhali.

Sasa usipo weza mtofautisha Dr Jakaya na Dr Samia Wewe utawapigia nyimbo zinazofanana wakati ni watu wawili tofauti.

Sasa nyimbo ya maswali mengi Kwa waitaa hauna hela Nini? ni kitu gani hiki mbele ya Dr Samia?

Nina uhakika Dr Jakaya Kwa Wimbo huu angetikisa hata kamguu kichini chini ila kwa mama yetu labda ungeimba kataalabu kidogo. Chagueni wasanii kulingana na matukio na nature ya miziki yao diamondi ana pahala pale sio hapo.

Kwa ushauri diamondi usirudi Dar bure, ukitoka hapo nenda bar moja pembene hapo shika maiki utakutana na wenzako mcheze.
 
Ili liiinchiii Lina enda wapi aise?

Hivi halina wasomi?hatuna wasanii wanao weza kuimba nyimbo kulingana na matukio yanayoendelea?
Msaniii mzuri ni yule anae weza kubadilika Kwa tunzi ZINAZO weza badilika kulingana na hadhira!na mandhali!
Sasa usipo weza mtofautisha Dr Jakaya na Dr Samia Wewe utawapigia nyimbo ZINAZO fanana wakati ni watu wawili tofauti.

Sasa nyimbo ya maswali mengi Kwa waitaa hauna hela Nini?ni kitu Gani hiki mbele ya Dr Samia?

Nina uhakika Dr Jakaya Kwa Wimbo huu angetikisa hata kamguu kichini chini ila kw mama yetu labda ungeimba kataalabu kidgo.
Chagueni wasanii kulingana na matukio na nature ya miziki Yao diamondi ana pahala pale sio hapo.

Kwa ushauri diamondi usirudi dar Bure ukitoka hapo nenda bar moja pembenei hapo shika maiki utakutana na wenzako mcheze.
Unayemsema hapa ana Hela nyingi za Kumtosha hadi za Kukununua Wewe na Kukufuga Kwake kama Bata Mzinga.

Tafuta Pesa upunguze Ufukara wako.
 
Sifi leo ana stress mjumuiko nyingi sana hasa za kisiasa.
hii nchi watu na siasa zake ni ngumu wapambanaji wapo kwenye keyboard tu.
 
Back
Top Bottom