Morogoro ni mji WA vipaji na vituko kila siku toka enzi Za afande sele , o. Ten, stamina , Jack simela r. I. P no wengineo taja wasanii wengine WA morogoro tuwape shout out apa Kwa uwepo wao
Hapa nimeshangazwa na ujasiri wa Dj aliye zamu leo RFA maana anapiga nyimbo za mixtape za Anti Virus live live ni matusi matusi tu.
Kama hamtaamka na barua ya TCRA asubuhi Mungu yupo nanyi...
Yamenikuta Kama yaliyotokea kwenye hz movie. Dhadkan upande wa sunnly shet Tere ma'am. Darr.upande wa sharukhan. Dil karshta upande wa Arjun rampal n hvo tu
Kiongozi na mwimbaji mkongwe wa bendi ya 'Twanga Pepeta' luiza Mbutu amefunguka na kuonyesha kukerwa kwake na tabia ya baadhi ya wasanii wa filamu na bongofleva wanaojihusisha na skendo za...
SEHEMU 1
Hapo zamani za kale enzi za akina nabii mfalme Daud huku Israel kulikuwepo na nabii mmoja kwenye himaya ya Uingereza aliyekuwa akijulikana kwa jina la nabii Johnson Petersburg (45)...
Kisiasa na kijamii, Je, ujumbe huu wa Maalim Nash una reflection yoyote kwenye maisha ya Tanzania kwa sasa?
Sikiliza kuanzia mwanzo hadi dakika ya 1:30
-Kaveli-
"Mariano Mariano nilikua nampango mmoja ,nikaingia kwa benk nikashika risasi nikasema lala chin bas mm uyo basi mm uyo nikaubeba mzigo naendesha gari na zinanyesha kama mvu"
Kma nmekosea...
Je, wajua "The Gods must be Crazy Movie"
Muigizaji mkuu wa "The Gods Must Be Crazy", N!xau Toma, alilipwa $300 pekee, ingawa filamu iliyotayarishwa mwaka wa 1980 ilitengeneza zaidi ya $200...
Nisipoteze muda, moja kwa moja kwenye mada.
Beat hiyo hapo chini kwa wajuzi unaweza kusikiliza na kutoa feedback, wapi hapako sawa, wapi na nini kimevuruga, nini niongeze na nini nipunguze nk...
Wasalaam,
Muziki au matangazo ya kibiashara ni vitu vinaweza kutukumbusha hazina ya muda na mambo mazuri tuliwahi kuwa nayo zamani
Binafsi siwezi kulisahau tangazo la dawa ya kuzibia pancha...
Nakumbuka mara ya kwanza kuona tamthiliya ya Iris ilikuwa ni ITV pale mwaka 2013 kama sio 2014 kipindi hicho hata smartphone sina.
Nilivyoiona tu mara ya kwanza sijui ilikuwaje lakini tangu hapo...
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa, kwamba Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtumia Barua ya wito TRUE BOY likimuhitaji kwa Mahojiano kuhusu Kibao chake kabambe alichokitoa hivi karibuni, bado...
Story inahusisha jamaa wanne na mdada mmoja, kwa pamoja wanakuwa MTU TANO.
Jamaa walijihusisha na utoaji wa misaada kwa jamii, si kanisani wala misikitini, kote walialikwa na huko walitoa pesa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.