Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Yaani nimekaa mahala unapigwa wimbo wako unaitwa "HONEY"aisee ni mbayaaaa....najua utavuma Kwa vile wabongo tuna hulka ya kupenda vitu vya hovyo hovyo. Hivyo tu.
41 Reactions
241 Replies
21K Views
Eti nani alikuwa mpiga gitaa bora zaidi kati ya hawa watatu 1. Lokasa ya mbongo 2. Dally Kimoko 3. Diblo Dibala Japo kuna watu kama Nene Tchakou
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Maulid njema wapendwa ndg zangu Waislam. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mkuu. Ila tunamchosha Kwa kutokuchungulia fursa alizotupatia. The Ramadhan Brothers wamefanikiwa kuchukua nafasi ya 5. Ni...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii ni orodha tukufu ya makundi yaliyoweka alama kwenye muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Nyimbo zao zikipigwa hadi leo zinasisimua. 1. Hard Blasters Crew (HBC) Kundi liliundwa na Profesa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Aya baada ya mizunguuko ya maisha kula ngoma hiyo
3 Reactions
7 Replies
391 Views
Mwenye hii movie ya NSYUKA(part 1&2) msaaada tafadhali. Au ambaye anajua mahali naweza kuidownload yote FULL naomba LINK tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
SEHEMU YA 1 A. NINAITWA MTUMISHI PAPA Mtumishi Papa: Penny wewe unapenda stori jaman sijakuona sikunyingi ujue! Money Penny: basi tukasalimiana hapo wee tukajikumbushia ya zamani akyanani...
13 Reactions
290 Replies
38K Views
Namkubali sana T.I, jamaa lyrics ipo mahali pake na flow.
1 Reactions
0 Replies
494 Views
Zipo nyingi ikiwamo furaha iko wapi ila hii naipenda zaidi https://youtu.be/1ecD4YhxBFs?si=9gt_nHJi2_zprqit
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna mengi naweza kuyasahau kati ya yale niliyopata kuyasikia na kuyafanya katika utoto wangu, hasa katika kipindi nilipokuwa shule za awali, msingi na sekondari. Hata baadhi ya majina na sura za...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna hiyo series ya kituruki ninahiitaji mno…. Nimeitafuta bila mafanikio sijapata access ya kui download Sitaki kuiangalia YouTube Mwenye nayo yote naombaa ama nielekeze nitaipata vipi Na...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Kuna kipindi yaliwahi kutokea maneno kwamba Tanzania tunaitafuta sound yetu, kwamba ngoma ikipigwa tu unajua hii ni Bongo, Tanzania. Nimepata muda usiku huu kwenda YouTube kuziona trends, guys...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau napenda sana nyimbo zilizokusanya watoto na kuitikia chorus, mara nyingi nyimbo huwa nzuri sana. Mfano ni kama hizi; 1. I'm a thug ya Trick Daddy 2. I can ya Nas 3. Fabulous ya Jaheim 4...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
MAISHA YANGU NYUMA YA PAZIA JEUSI. SEHEMU YA KWANZA. Mtunzi & Mwandishi: Stephen Chelu Utangulizi: Simulizi hii imejengwa kwa kutumia matukio halisi na ya kufikirika ili kuleta mvuto zaidi kwa...
10 Reactions
155 Replies
44K Views
Kwema Wakuu! Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja. Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Wale wapenzi wa burudani nawaletea filamu zilizochezwa vizuri na wasanii wa hipop (rappers) Tuanze kutililika[emoji94] [emoji419]2pac:juice [emoji419]Ice cube:boyz N the wood [emoji419]Dmx:belly...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Hello. Wana jamii naomba mnisaidie majina ya hizi movie au link nizi download.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
My mother used to cook beans, but before she cooked the beans, she picked the bad and dirty beans and threw them at our backyard and only cooked the good beans. But when the rain came, the dirty...
2 Reactions
2 Replies
530 Views
Binafsi huwa nikikutana na movi za aina hii basi natafuta njia nyingine kuzikwepa. Walioweka kiswahili wananogesha hadi wanaharibu. Angalau waweke subtitles.
4 Reactions
7 Replies
6K Views
Back
Top Bottom