Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,095
- 138,034
....Siooo leeeeeo toka zamani, Mnyama hana mpinzani.....
Na mond ni uto sio?Yaani nyie kweli madunduka, huyo kiba ni Yanga damu, mnaenda kuilazimisha furaha kwake🤣
Vipi kuhusu Zungu Manara ni Azam yule eti?Yaani nyie kweli madunduka, huyo kiba ni Yanga damu, mnaenda kuilazimisha furaha kwake[emoji1787]
....Siooo leeeeeo toka zamani, Mnyama hana mpinzani.....
Kama manara ba dimond tu,au hujui kuwa wale ni simba damu ???Yaani nyie kweli madunduka, huyo kiba ni Yanga damu, mnaenda kuilazimisha furaha kwake[emoji1787]