Radio Free Africa kesho msipokutana na barua ya TCRA Mungu yupo nanyi

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
7,931
13,423
Hapa nimeshangazwa na ujasiri wa Dj aliye zamu leo RFA maana anapiga nyimbo za mixtape za Anti Virus live live ni matusi matusi tu.

Kama hamtaamka na barua ya TCRA asubuhi Mungu yupo nanyi.

Nimekumbuka ile barua ya onyo waliyopewa miaka mingi nyuma kisa kupiga nyimbo ya Kaka Suma by Nash MC, na Nash akajiita mchochezi kuanzia hapo.

Usiku mwema
 
Redio ya ccm hiyo diallo ni msimamizi tu!
 
Screenshot_2023-08-05-13-10-47-903_com.android.chrome.jpg

-Kaveli-
 
We ndo una waharibia, andiko la nini🤔, ukute hata hao TCRA Hawaja sikia😂😁
Kuna media watch mkuu kila kitu kinarekodiwaaa na kusikilizwa ....kuna watu kazi yao kusikiliza radio na tv zoote ....huwa wanachelewa kusikiliza lakini watasikia tu ....miezi 4 wako nyuma ya update ya leo .....labda iwe dharula wataenda specific date au siku .....
 
Muache hajui mambo huyu ndugu yetu.
 
"Niponde nisipondee?? Maalim Pondaaa.."

Live long Maalim Nash a.k.a mhadhiri mchochezi.

-Kaveli-
Kuna nyimbo moja ametaja sana ma legend na mambo waliyoyafanya, sijui hata jina lake ila naitafuta kinoma noma.

Ni nyimbo ya miezi au mwaka huu kama sijakosea.
 
Hapa nimeshangazwa na ujasiri wa Dj aliye zamu leo RFA maana anapiga nyimbo za mixtape za Anti Virus live live ni matusi matusi tu.

Kama hamtaamka na barua ya TCRA asubuhi Mungu yupo nanyi.

Nimekumbuka ile barua ya onyo waliyopewa miaka mingi nyuma kisa kupiga nyimbo ya Kaka Suma by Nash MC, na Nash akajiita mchochezi kuanzia hapo.

Usiku mwema
😁😁😁😁😁
 
Nyimbo za kufungua watu akili zinapigwa vita, za kuendekeza bangi, pombe na zinaa ndizo serikali inataka zipigwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom