hey buddies
Nimeona reviews na comments mbalimbali kuhusu genre za movies(action,thriller,horrors et),.lakini sijapata wadau wa movie za psychological thrillers, movie za psychiatric na asylum...
RIWAYA…..THE MAGIC RING ( 01 )
MTUNZI….. HUSSEIN O. MOLITO
TRANSLATION….. GIFT KIPAPA
Upepo mkali ulioambatana na radi huku rangi ya mawingu ikizidi kuwa nyeusi . muwako na muungurumo mkali...
Huyu msanii wa kike anajua sana kuimba kuliko wasanii karibia walio juu kwenye chart za mziki Tanzania.
Natumai atapata push ya kutosha kwenye industry ili aweze kufikia level anayostahili...
Mtunzi
Nyemo Chilongani
Sehemu ya 01
Ukimya ulitawala ndani ya Jiji la Dar es Salaam, yale magari yaliyokuwa yakipita kwa kasi katika barabara nyingi jiji humu yalikata kabisa.
Watu wengi...
Kwanza kabisa mwanzo wa yote wacha niweke msimamo wangu kuwa mimi sio mtu wa dini yoyote(sina dini).
Turudi kwenye dhumuni la uzi huu ambalo ni kuwapa pongezi zao Seventh Day Adventist(SDA) kwa...
Inahusu mtu na mumewe walikuwa wanafanya biashara ya kuuza nyama za ng'ombe sasa walikuwa kama na mikosi hivii unajua kwa nini nyama zilikuwa azitoki yaani aziuziki zikibaki wakimpa mbwa wao...
Riwaya: Anga ya Washenzi
Imeandikwa na Gilbert Evarist Mushi
Phone: 0765824715.
Msimu wa Kwanza, Sehemu ya 01
SURA YA KWANZA
Jumatatu Tar 07/04/2022, Saa 04:00 Asubuhi.
Hali ya hewa ilikuwa...
Hatimaye wasanii wanowania tuzo za muziki za Kilimanjaro(KILI MUSIC AWARD )wametajwa
MWIMBAJI BORA WA KIKE
VUMILIA
LADY JAYDEE
MWASITI
KEISHA
ISHA RAMADHANI
MWIMBAJI BORA WA KIUME...
Kama hauja itazama itafute unakosa mambo mengi sana ina muhusu bwana mdogo edi mora ambaye alikuwa maskini choka mbaya sana hadi kukimbiwa na mkewe baadae anakuja kukutana na shemeji yake ana mpa...
Ni muziki wa kati ya miaka 2000 hadi 2010 hivi.
Nazitafuta albums z wasanii hawa chini hasa albums zao z kwanza kabisa
1.RAY C
2.Q-CHIEF
3.BANANA ZORRO
4.LADY JAYDEE
5.MB DOGGY ILE YA MAPENZI...
Mtunzi Ally Katalambula
Sehemu ya 01
SIKUJUA kama nina kipaji cha mpira wa miguu, hadi watu wa pembeni walipoanza kunieleza hivyo. Mtu wa kwanza kuniambia nina kitu miguuni mwangu, alikuwa ni...
Uzi huu ni maalum kwa ajili wa waandishi na wapenzi wa kusoma mashari kuja hapa kujadiliana na kufundishana vitu mbalimbali kuhusu ushairi.
Karibuni jamani tushirikishane na tutunge mashairi...
Habari wakuu, natumai mpo gudi, rejea kichwa cha habari hapo juu,
Kuna muvi fulani hivi kwa ambae anaweza kuijua hata jina yenye pia ina maudhui ya mauaji ya kimbari pale Rwanda iko hivi;
Kuna...
1. https://www.fzmovies.net/
Ni moja ya tovuti yenye mkusanyiko mkubwa wa sinema ambazo unaweza kuangalia kwenye simu au kompyuta yako.
Pia Inaruhusu Watazamaji Kupakua Sinema.
2. Mobile...
TUNGO: Hatima ya ujinga wake
MTUNZI: Bux the passionate lover
MWANDISHI: Bux the story teller
MWANZO
Furaha ilikuwa sehemu ya historia ya wapenzi wawili kwenye maisha yao, walikuwa wanaingia...
Hello kuna watu walikuwa wanatafuta sana wimbo wa John Komba ulioimbwa wakati wa mazishi ya Nyerere, "Taifa lahuzunika" huu apa nimeupata, naomba usishau kuSUSCRIBE channel kwa Mengi zaidi.