Wimbo wa Mazishi ya Nyerere, Keptein Komba huu apa

Asante Mkuu!
Old Golden Days
RIP Mwalimu Baba Yetu Nyerere
Taifa lahuzunika kikwekweli huu wakati
Thx JohnnKomb RIP
 
Dah..... R.I.P komba....
R.I.P mwalimu nyerere

Sijui nani tena ataimba kama komba jaman
 
JAMANI INASIKITISHA!! WIMBO HUO UMENIFANYA NISHIKWE NA SIMANZI.
KIFO HIKI JAMANI!!
NAISHAURI SERIKALI ;KUMBU KUMBU ZA KIFO CHA BABA WA TAIFA ZIWE NA UZITO WAKE .
NINGEPENDEKEZA ZISIWE ZA KISIASA
MAANA NAONA SIKU HIZI ZINATUMIKA KUNADI- NADI MAMBO YA ILANI ZA CHAMA.
INGEPENDEZA SANA KAMA HII SIKU SERIKALI YOTE IHAMIE BUTIHAMA .
IFANYIKE SALA IBADA MAALUM
HOTUBA MBALI MBALI ...
SIMLIZI ZOTE ZA MWALIM,KAZI YAKE ,
NA MAMBO YAMUHUSUYO MWALIM YATAJWE.
 
Hello kuna watu walikuwa wanatafuta sana wimbo wa John Komba ulioimbwa wakati wa mazishi ya Nyerere, "Taifa lahuzunika" huu apa nimeupata, naomba usishau kusubscribe channel kwa Mengi zaidi.

ingependeza zaidi kingejengwa chuo
kikuu Butihama ...
 
Back
Top Bottom