Kili music award-2009

Belo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
12,882
10,191
Hatimaye wasanii wanowania tuzo za muziki za Kilimanjaro(KILI MUSIC AWARD )wametajwa

MWIMBAJI BORA WA KIKE
VUMILIA
LADY JAYDEE
MWASITI
KEISHA
ISHA RAMADHANI

MWIMBAJI BORA WA KIUME
MATONYA
MAKAMUA
M. B. DOGG
HAMMER Q
Q. JAY

ALBAMU BORA YA TARAAB
V. I.P – Jahazi Modern Tarab
WHY – T. O. T
MWANAMKE HULKA - East Africa Melody
KITU MAPENZI - Dar ModernTaraab

WIMBO BORA WA TARAAB
V. I .P Jahazi Modern Taraab
WHY – T. O. T
MWANAMKE HULKA - East African Melody
MWANAMKE MVUTO New Zanzibar Taraab
YA WENZENU MIDOMONI - Jahazi Modern Taraab

WIMBO WA MWAKA
TABASAMU–Mr Blue ft Steve
ANITA - Matonya ft Lady Jaydee
DAR MPAKA MORO - T. M. K Family
V. I. P - Jahazi Modern Tarabu
NZELA - Banana Zoro & B. Band

WIMBO BORA WA KISWAHILI (Bendi)
SUMU YA MAPENZI - African Stars
HESHIMA KWA MWANMKE - FM Academia
SUPU UMEITIA NAZI - D. D. C Mlimani Park
SAFARI SIYO KIFO - Akudo Impact
MKONO SHAVUNI - Vibration Sound

ALBAMU BORA YA KISWAHILI ( Bendi)
PEKECHA PEKECHA - Akudo Impact
NYUMBA YA URITHI - Double M. Sound
ULIMWENGU - J. K. T Band

WIMBO BORA WA R ‘n'B
NATAMANI - M.B Dogg
NEILA - Tundaman
ZAMU YANGU- Sarah
NATAMANI Q. Jay na Makamua ft Joslin
USINIACHE - Spark ft Chid Benz

WIMBO BORA WA ASILI YA KITANZANIA
DELA DELA- Che Mundugwao & Mbeya Arts
KATAA UNYANYASAJI WA KIJINSIA - Maringo Group
KWETU SEREMA UKEREWE- Maringo Group
KAZI YA DUKANI - Dogo Mfaume

ALBAMU BORA YA ASILI YA KITANZANIA
DELA DELA - Che Mundugwao & Mbega Arts

WIMBO BORA WA HIP HOP
BADO NIPO NIPO - Mwana F. A
NIPE DEAL - Mangwea ft Dark Master
NGOMA ITAMBAE - Chid Benz
SIMTOMSAHAU - Kigwema ft Marlaw
NAKUITA NJOO - Prof Jay ft Nyashinsky

WIMBO BORA WA REGGAE / RAGGA
TUTAONANA WABAYA- Q . Chief
MAMA NEEMA- 20%
RIPOTI - Tunda man
DUDE LA KIMATAIFA - Chege
TAXI BUBU - Matonya

MSANII BORA WA RAP
MANGWEA
FID Q
CHIDI BENZ
MWANA F.A
WITNESS

WIMBO BORA WA AFRICA MASHARIKI
SWEET LOVE -Wahu(Kenya)
TI – CHI -Ken Raz(Kenya)
ZUWENA - Wezzre(Uganda)
SIRIMBA -Ngoni ft Lady Jadee ( Uganda)
SALARY -Nameless(Kenya)


MTUNZI BORA WA MUZIKI

MZEE YUSUPH
KARAMA LEGESU
M. B DOGG
LADY JADEE
MATONYA

MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO
AMBROSS A.K.A DUNGA
LAMAR
MARCO CHALI
HAMIE B
MAN WALTER

MWANDIKAJI BORA WA NYIMBO
PROFESOR JAY
MATONYA
MWANA F.A
LADY JAYDEE


WIMBO BORA WA ZOUK
NAOMBA UMWAMBIE - Kalunde Band
AWENA- Kassim
NALIVUA PENDO - Mwasiti
KARIM- Ally Kibba
LONELY- Q Jay


MTAYARISHAJI BORA WA VIDEO
VISUAL LAB
KALLAGHE PRODUCTION
MAUJANJA SUPPLIER
EMPTY SOULS
OUTCOME PRODUCTION

WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA (kolabo)
GOODBYE - Chege ft Q Chief
ANITA - Matonya ft Lady Jaydee
NATAMANI–Q, Jay, Makamua ft Joslin
SINTOMSAHAU- Kigwema ft Marlaw
NAKUITA NJOO –Prof Jay ft Nyashinsky
 
Hawa jamaa kila mwaka wanachemka mi nadhani huyo DOGO MFAUME anastahili kuwania tuzo 4
 
Tungo 4 zipi? Halafu hiyo kazi ya dukani kweli ni asili ya TZ??

Du! wewe kiboko, tuzo nne sio tungo nne, halafu mchiriku ndio asili yetu haswa nashangaa unapo uliza kama mchiriku unaasili ya TZ wakati kwenye hizo tuzo kuna categories hadi za hip hop na R&B sijui hizi kwako ni za ki TZ. Dogo mfaume alistahili kushindania wimbo bora wa mwaka, muimbaji wa kiume, mtunzi bora na kama wangeweka category ya muziki wa asili. Halafu mbona wimbo kama Habari ndio hiyo haupo hata kwenye nominations wakati ndio wimbo uliopata air play kubwa sana tangu June hadi January?
 
Huyu Lady Jay Dee kila mwaka lazima awe nominated kwenye hizi tuzo hata kama asipotoa wimbo
 
tuzo nne sio tungo nne, halafu mchiriku ndio asili yetu haswa nashangaa unapo uliza kama mchiriku unaasili ya TZ wakati kwenye hizo tuzo kuna categories hadi za hip hop na R&B sijui hizi kwako ni za ki TZ. Dogo mfaume alistahili kushindania wimbo bora wa mwaka, muimbaji wa kiume, mtunzi bora na kama wangeweka category ya muziki wa asili.

Mkubwa asante kwa kunisadia
 
hizi awards hazieleweki eleweki......tz bwana kila kitu magirini Dj JD na grouo lake wamekaa ndio wakaja na list hii?
 
Mkubwa asante kwa kunisadia

Pamoja sana. Nadhani kunahitajika kitu kifanyike juu ya hawa waandaji wa tuzo hizi kwani kila mwaka zinazidi kupoteza maana na hii ni hatari kwa maendeleo ya tasnia ya muziki. Kuna haja ya kupanua dhana ya ufisadi hadi kwenye sekta nyingine kama sanaa na michezo.Kili awards ni ufisadi ulio dhahili kabisa unaofanywa na BASATA na hao wengine.Wakiachwa waendelee tutakuja kusikia ya akina Mintanga na huku.
 
Jamaa naona kasusa baada ya watu kupiga kelele au labda anatafuta nyingine

Hapana wakuu mimi si wa kususa hata kidogo ila hata hapa kuna ufisadi mkubwa sana yaani nimefanyiwa kitu mbaya na avatar yangu. Jamaa wakishirikiana na mama mmoja wameondoa avatar yangu pia wameninyima hata fursa ya kuona avatar nyingine. Tukisema nchi imechafuka nadhani mnapata picha sasa hawa jamaa wameninyima freedom of expression lakini wao ndio wanajifanya wapo katika safu ya mbele katika mapambano ya ufisadi.Mafisadi wakubwa ndio hao hao kumnyima mtu uhuru wa kujieleza ni ufisadi zaidi ya hata wa huyo RA, EL, BMW na wengine. Na hakika wataumbuka siku moja.Masanilo Pammojah sana.
 
Ahahahahaaa,wakuu hiyo ya jd na mimi nimeshangaa,mimi nilitegemea kwenye nyimbo za asili nikute nyimbo za makabila tofauti!! Alafu hawa watu mbona kila mwaka ni tuzo za waimbaji wa bongo flavour tu!! Hamana sanaa nyingine amabzo wanaweza kutoa tuzo? Alafu lady jadee wanamuwekea nafasi kubwa ya kushida,katokea mara kibao tu!! Huyo kaishatoka,mimi nilitegemea wangeweka wanmuziki wapya ili kuwainua kimziki!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom