Jaman who's kinyambe???
He is kinyambe
Je, huyu kinyambe ni solo stand-up comedian kama e. omondi?kinyambe
Kama ni braza k wa futuhi, huyo ni group comedian siyo solo.Braza K bwana acha kabisa
braza k wa futuhi siyo comedian ila ni group clown.braza k funga kazi
braza k anafanya kwenye group siyo solo stand-up performer.Aisee blaza k hana mpinzani ndugu zanguni! Yule jamaa ni noma...
Kwangu, braza k siyo comedian ila ni clown tu.Braza k
Ni kweli. Hatuna wa kumlinganisha na e.omondi au a.kansiimebraza k ni mkali. siku hizi stand up comedy ndio ipo kwenye trend so anatakiwa apatikane mtu atakae compete na soko ingekua vizuri. Binafsi huwa siwaelewi wale kina Bukuku.
Wabongo wengi tumekariri kujipaka mavitu usoni au kuvaa kike au kuongea sauti za ajabu bila kusahau kuweka uso dizaini mbalimbali ndio utachekesha kumbe sio hivyo. Basket mouth na Nigeria na Erick Omond hawafanyi hivyo vyote ila ukiwasikiliza hakika utacheka sana. Comedian wa Bongo tuige mfano.
Majuto naye si solo stand-up comedian kwenye class ya omondiMajuto