Mimi naitafuta movie moja ya kinaigeria inaitwa sioma the monster, kwenye cd ilikuwa ipo pamoja na movie inaitwa ibu the school, mwenye kujua sehemu ya kuipata anitumie hata link ni singo movie...
RIWAYA: MKIMBIZI
MTUNZI: HUSSEIN ISSA TUWA
SEHEMU YA KWANZA
likuwa ni msafara wa watu watano, watatu kati yao, pamoja na mimi mwenyewe, tukiwa ni waajiriwa wa Idara ya Makumbusho ya taifa kitengo...
Pesa si matumaini yao
Ni msukuma mkokoteni
Tena na jua kali kichwani
Pato lake sio ahueni
Pesa si matumaini yao
Ajabu mwajiriwa tajiri
Na mwajiri wake ni fakiri
Analipa, kipato swaghiri
Pesa si...
Habari,
Naombeni mnitajie nyimbo za Juma Nature zote alizoimba na kushirikishwa. Najua nyimbo zake hizi tu.
Mtoto Idd
Mikikimikiki
Sitaki demu
Mgambo
Kwa mlionazo kama itawezekana naombeni...
MDUNGUAJI WA GOMA:2
NA; BAHATI K MWAMBA
SIMU; 0758573660/0658564341.
1.
Zilikatika dakika thelathini bila mjumbe wa mwisho kuingia kwenye kikao cha dharura, simu zake...
Ni matumaini yangu mko poa. Ni ‘weekend’ sasa, muda ambao tunapata mapumziko, hivyo basi si vibaya kama tukipata wasaa wa kupakua na kutazama filamus kadhaa kwa ajili ya burudani na pia kujifunza...
Katika ukurasa wake rasmi wa Instagram Nay wa Mitego anaandika:
Nimepokea Barua Ya Wito Kutoka Kwa Walezi Wetu @basata.tanzania Kwa Ajili Ya Kikao So Nitafika Kwenye Kikao Siku Iliyo Pangwa...
Kila zama na kitabu chake, ilikuwepo zama za Bongo Records na akina Majani, Prof. Ludigo, Soggy Doggy, Bizzman n.k wakidondosha midude ya level nyingine. Huku alikuwepo MJ Records, kule Mawingu...
Hii tamthilia bwana ni ya moto..imejua kuwaanika wanaume yani kiufupi ni tamthilia inayogusa maisha ya familia nyingi..
Kwa upande mwingine inafundisha wanawake kudandia waume za watu...
1. 12 600 Lettres
2. 12 600 Lettres A Franco
3. 12 600 Lettres Débat
4. 5 Ans Ya Fabrice
5. A Moins Que Namikosa
6. A.Z Da
7. Abali Ye
8. Abanza
9. Acceptez Que C Est Vrai
10. Accident Ya Cherie...
Kwema Wakuu!
Moja ya mambo ninayoyapendelea kutazama kwenye Luninga ni Cartoons na filamu za Wanyama.
Ninapendelea Cartoons zaidi kuliko filamu za maigizo za watu halisi. Nachelea kusema Watunzi...
Golden tz - Lonely.
Kama inavyoonekana hapo juu, Msanii anaitwa Golden tz na wimbo unaitwa Lonely. Frankly kwangu ni wimbo mkali sana Ila nimejaribu kuutafuta kwenye platforms mbalimbali...
Ipokee Hii Orodha Ya Wasanii 10 Bora Wa Muda Wote (Greatest Of All Time) Kwa Mujibu Wa #Billboard Huku #RIHANNA Akipata Bahati Ya Kuwa Msanii Mwenye Umri Mdogo Kwenye List Hiyo.
1. #TheBeatles
2...
Kila nikiukumbuka Wimbo wa Maggie ( hasa Sebene lake ) wa Koffi Olomide nakumbuka mbali mno kwani nilivyokushauri Nauserebuka Kiustadi katika Sherehe uliweza kunipa Mpenzi ambaye baadae alinikataa...
Ipi Kali Sana kati ya hizi ngoma speed 120 iliyotoka 2008 au kush n haze iliyotoka 2006.
Nimekuwekea ngoma zote mbili hapo uzisikilize
Dondosha maoni hapo chini👇👇
NB:RIP kwa Albert Mangwea...
Srinagar (Jammu na Kashmir), Agosti 28 (ANI):
Mlimbwende namba moja duniani anayemaliza muda wake wa kushikilia taji la Urembo la dunia kwa sasa Karolina Bielawska amevutiwa na mazingira ya India...
Umoja wa Falme za Kiarabu (the united arabic Emirates) ulikuwa wa kwanza kutekeleza marufuku hiyo Hii ilifuatiwa na Saudi Arabia na Pakistan
Hivi karibuni Algeria nayo imeungana na nchi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.