Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Katika tamthilia ambayo mpaka Leo naiangalia na haichuji, Sex and the city in moja wapo?! Kote kwenye Tamthilia na Movies My favourite Actress ambae nikimkosa nanuna alikuwa ni 1. Samantha ~...
4 Reactions
32 Replies
6K Views
https://youtu.be/WcqK9Ls7Eos From the Bible to the Quran Revelation in Jerusalem Shalom, salamalekoum You can see Christians, Jews and Muslims Living together and praying Amen, let's gives...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu Sisi, (Usijali watu wanasema nini, Kwa sababu tunaujua ukweli) Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kutuhusu, (Inatosha sasa, upuuzi...
2 Reactions
2 Replies
949 Views
Ziwe bongo flava, ziwe rnb, ziwe funk, ziwe rap, iwe rhumba, ziwe soul muhimu tu isiwe gospel au Kaswida. 1. Asante ya Sugu na Sele, kutoka kwenye album yake ya Muziki na Maisha. 'Chorus' yake...
0 Reactions
0 Replies
549 Views
https://youtu.be/UiIa2i29PZ4 R.I.P Father Nelly wa Xplastaz Nimesikiliza hii nyimbo tangu nikiwa bwana mdogo mpaka leo nimekuwa broo! Nafikiri tukubaliane sasa kwamba kwa Hip Hop hii ndio rap...
1 Reactions
0 Replies
675 Views
Zion train is coming our way Zion train is coming our way Oh people, get on-board (you better get on board) Thank the Lord. (praise Fari) I gotta catch this train 'Cause thee is no other station...
2 Reactions
0 Replies
362 Views
Ijumaa ya leo tarehe 18/08/2023 Msanii maarufu kwenye nyimbo zinazogusa maisha halisi ya Watanzania, Roma Mkatoliki ataachia wimbo wake uuitwao “Tupeni Chetu.” Wimbo huu utagusia suala zima la...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello Jamii People. Been a while lakini yote heri au siyo. The messages that I receive mostly zinaniulizia kuhusu more stories. So nikaamua walau kila wiki niwe naandika something. Naanza na hii...
14 Reactions
398 Replies
74K Views
Baadhi yetu tunaamini kusikiliza muziki ni tiba ya bure kabisa (therapy) kitu ambacho kwa namna flani kina ukweli ndani yake, kila mtu ana aina ya mziki anaoupenda, wengine hupendelea gospel...
2 Reactions
7 Replies
697 Views
Hawa vijana wapo moto sana, usiseme ushawahi kusikiliza mziki halafu hii ngoma huna, hii ngoma ni kali balaa ina fleva kali za na amapiano humo ndani inaitwa "Sina ubaya by watu fresh"...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
HADITHI: KIFO CHA MWANDISHI SEHEMU YA KWANZA Mtunzi: More Mawasiliano: 0756320219 Hadi nafika nusu ya safari yangu bado nilikuwa nikijiuliza kama uamuzi wa kuwa na safari hii ulikuwa sahihi. Kila...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mambo niaje wadau, kuna wimbo mpya wa clouds unatumika tumika sana katika vipindi vyao, naweza kuupata jamani
1 Reactions
15 Replies
8K Views
Nyimbo tulizojufunza majeshini mafunzoni na kwenye mchakamchaka. 1. Baku babakubaba siitikii. 2. Inkalankala inka. 3. Nasoro unantafuta. 4. Impiizaaa. Ongezea nyingine
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Tazama video hiyo ambayo itaonyesha huduma nikiwa Nzega Tabora. Kwa sasa napatikana Der es salaam.
1 Reactions
6 Replies
741 Views
SEHEMU YA KWANZA Ushuhuda huu una sehemu 13, sehemu zote utazipata humu humu jamii forumu kila siku, tutakuwa na sehemu moja mpaka tutakapoumaliza ushuhuda hu Karibuni Sana! Marafiki wapendwa...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Huyu mwanadada Libianca ni mwanamuziki wa Cameroon, na mwaka huu ametoa wimbo uitwao PEOPLE. Binafsi nimeusikiliza mara kadhaa na kutambua kwamba huyu dada ana kipaji kikubwa mno cha uandishi na...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Shalom Shalom wapendwa. Ninamaandalizi ya tamasha la uzinduzi wa Albam ya video Mpya. Tamasha linafanyika Mkoani Tabora Nawakaribisha sana kusapoti maandalizi poa karibuni sana ndugu zangu 24...
1 Reactions
4 Replies
403 Views
Picha hizi siukumbusho tu lakini nikwamba Mungu ametuonekania tukiwa Kenya kwenye huduma. Picha na Mtumishi Robert Masai.
1 Reactions
2 Replies
489 Views
Aron Mvembezi Ft Yohana Anthony - Yupo Mungu wa kweli. Ni wimbo wenye matokeo makubwa ya nguvu ya Mungu. Ukisikiliza Nikama umefanya maombi ama imeombwa. Kama huamini hemu utazame na usikilize.
1 Reactions
1 Replies
401 Views
https://youtu.be/OJ_c-kqEd4k?si=CkRnIwDNNegB_gm6
1 Reactions
0 Replies
397 Views
Back
Top Bottom