Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

This is the list of my best 10 hip hop lyricists of All time. 1. Nas 2. Kool G Rap 3. Immortal Technique 4. Rakim 5. Ice Cube 6. KRS-1 7. Big Pun 8. Eminem 9. Jay Z 10. Scarface Honourable...
3 Reactions
106 Replies
13K Views
Kadri ziku zinavyokwenda watazamaji wengi wanaipotezea tamthiliya ya HUBA na kuelekea nyingine hasa Jua Kali. Huba wamekosea wapi? Je, hawana uhalisia - tamthiliya nzima hakuna role models...
7 Reactions
115 Replies
10K Views
Recently kumekuwepo na mfumuko wa Diss Tracks nyingi sana kwenye game ya Hip-Hop, but Diss tracks ambazo zimeweza kupata umaarufu mkubwa sana kwasasa ni Diss record ya Drake kwenda kwa Meek Mill...
2 Reactions
49 Replies
7K Views
HAbari ndugu zangu natanguliza pole na majukumu mbalimbali mungu awatie nguvu. Mimi ni daktari(medical doctor) nilietokea uswazi changanyikeni so nayajua matatizo mbalimbali yanayotusibu mtaani...
1 Reactions
4 Replies
512 Views
Jamani wadau wa jukwaa hili naomba mwenye link ya kudownload wimbo wa hard mad ft fatma- tamala anisaidie. Ni wa kitambo kidogo link nazopata naona hazifanyi kazi hivyo mwenye link anisaidie maana...
0 Reactions
50 Replies
21K Views
Wakuu nimekuwa nikifatilia hiki kipindi kinaitwa HAWAVUMI LAKINI WAMO kinarushwa na luninga moja maarufu kwa lengo la kujipima ili namimi siku moja niwe mtajika ktk eneo hili. Kwa wale wenye...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha uzi hapo juu. Natafuta wadau wa kushirikiana nao kuendesha shindano la WATU wenye sura mbaya Tanzania mkoa wa Dar es salaam. Fomu zinapatikana BUREE. Mshindi atapatiwa...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu nimetafuta humu kwenye entertainment sijabahatika kuona threads za games humu. Hapa nazungumzia michezo ya kwenye simu ,computers, hata board games migumu zaidi (mind games) iliyopo duniani...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna nyimbo kadhaa nikisikiliza naweza nisijue ametamka nini huyo msanii mpaka inaweza chukua hata miezi au zaidi ndo nakuja kuelewa kilichotamkwa, Kwa mfano kuna nyimbo nilikuwa nasikiliza...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii ni nyingine tena, Ni Bongo Records tena, P Funk KIITIKIO Ni gheto langu tu, Linalowachengua maduu, Linaloniweka kwenye chati za juu, Kijitonyama mpaka East Zoo, Ni gheto langu tu...
2 Reactions
7 Replies
8K Views
Salaam/Shalom...!
0 Reactions
6 Replies
538 Views
Pictuspublishers tumefasiri kitabu How to win friends and influence people. Kila wiki siku ya ijumaa tutasoma sehemu moja. Unaweza kusoma sehemu iliyofasiriwa ndani ya maktabaapp. kuungwa tucheki...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Baada ya simba kutoa sare leo uwanja wa nyumbani, zile nyuzi za kuikebehi na kuiponda yanga zimepungua kama hazijamalizika kabisa. Matokeo ya mpira wa miguu huja tofauti na matarajio ya wengi...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Wapenzi wa simulizi, hii ni Simulizi iliyotoka mwaka 1886 huko Urusi iliyotungwa na Nguli wa Fasihi, Leo Tolstoy. Mwanafasihi huyu ameandika Riwaya na Hadithi fupi fupi nyingi sana. Riwaya zake...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Hii ndio movie kali ya kivita ya muda wote
16 Reactions
62 Replies
6K Views
Habari... wadau ebu leo naomba tukumbushane Zile bongo flava zilizo fanya vizuri enzi zileeee me naanza na TAMALA ya HARDMAD
0 Reactions
2 Replies
2K Views
[Verse 1] In the sunshine, we're feelin' irie (irie, irie) With the rhythm, we're catchin' the vibe (vibe, vibe) Breezy melodies, takin' us higher (higher, higher) In this reggae groove, we gonna...
2 Reactions
3 Replies
697 Views
Wakuu habari, Wimbo tajwa hapo juu nshautafuta sana bila mafanikio. Naomba mwenye nao anisaidie tafadhali[emoji21]
1 Reactions
4 Replies
11K Views
Katika maisha kila mtu anakuwa na matukio ambayo siyo rahisi kuyasahau hata akumbwe na changamoto ya namna gani. Leo na mimi nimeamua ku share na nyinyi Wana JF tukio hili ambalo sio la kutisha...
34 Reactions
121 Replies
19K Views
Juzi nilikuwa napitapita Insta kweny page za entertainment za Nigeria, aisee jamaa wanasema sana, wanamsimanga hadi nilijisikia vibaya. Mimi sio kwamba mshabiki sana wa diamond, ila nikiona...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…