THE JAGGERS
JF-Expert Member
- Apr 3, 2023
- 570
- 443
Wakuu nimetafuta humu kwenye entertainment sijabahatika kuona threads za games humu.
Hapa nazungumzia michezo ya kwenye simu ,computers, hata board games migumu zaidi (mind games) iliyopo duniani
Pia kwa wale ambao wanafahamu michezo hiyo basi wa share nasi kutupa mafunzo/maelekezo katika uchezwaji wake.......