MwinjachijingaOG
Member
- Jun 20, 2021
- 52
- 101
Husika na kichwa cha uzi hapo juu.
Natafuta wadau wa kushirikiana nao kuendesha shindano la WATU wenye sura mbaya Tanzania mkoa wa Dar es salaam. Fomu zinapatikana BUREE. Mshindi atapatiwa zawadi, milioni 10 (mfano)
Wadhamini njoeni. Faida za shindano:
1. Tunatambua na kuthamini uwepo wao hivyo waache kujificha na kutojikubali.
2. Wao ni icon muhimu kutokana na upekee wao, tunakuza brand zao.
3. Kukuza Ari ya kujiamini kwa kila mtanzania kutokana na vile alivyo.
Wadau karibuni tufanye kazi