Nimeandika tamthiliya inayolenga kupambana na malaria. Je, niipeleke wapi?

olii

New Member
Jul 21, 2020
2
2
HAbari ndugu zangu natanguliza pole na majukumu mbalimbali mungu awatie nguvu.

Mimi ni daktari(medical doctor) nilietokea uswazi changanyikeni so nayajua matatizo mbalimbali yanayotusibu mtaani na kupelekea shida katika afya zetu.

Nimeandika tamthiliya inayolenga kupambana na malaria katika kuisaidia serikali kufikisha ujumbe kwa raia wake kuhusu matibabu na vipimo vya malaria ni bure pia kupitia filamu hii kuweza kuonesha athari mbalimbali za malaria kama kifo na ulemavu wa kudumu.

Nimefanikiwa kuisajili COSOTA imepitishwa na nina cheti cha story nzima, sasa nina safari ya kutafuta sponsors kwaajili ya kutoa fund ya hii project kuweza kuishoot bajet ya tamthiliya ni zaidi ya milioni 200 nafikiria kwenda AZAM lakini naambiwa na walio katika tasnia kuwa uwa wanahitaji ufanye demo kwanza na demo tu inagharimu si chini ya milioni 20.

NAOMBA USHAURI NA MSAADA NAWEZA KUANDAA PROPOSAL NIPELEKE WAPI KUFANIKISHA ILI PIA NAKARIBISHA ANY POSITIVE PARTNERSHIP ni PM tuwasiliane ahsante.
 
Umeandika story au actual script?
 
Back
Top Bottom