Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kwa utoto huu anaofanya Konde Boy ndio tuendelee kumuweka kwenye mizani sawa na la Masimba Dangote [emoji3063]? Konde Boy anakipaji kikubwa sana akiacha kukurupuka kwa stress za wasanii wengine...
1 Reactions
10 Replies
865 Views
Kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa Tik Tok basi tambua kuwa Kuanzia sasa muziki wowote unaomilikiwa na Universal Music Group hautakuwepo kwenye orodha ya nyimbo za kutumia TikTok. Video za zamani...
2 Reactions
8 Replies
790 Views
JUMA MCHOPANGA,JAY MOE Habari nyingine, Cheki hapa SOLO THANG Anvyokimbizwa kwenye WERE ARE FAMILY.[emoji91][emoji119] Tatoo sio Nyingi kama P FUNK ila mi mpenzi wa MAJANI/ JAY ndio mimi MASTER...
4 Reactions
2 Replies
786 Views
Rose Muhando? Bahati Bukuku? Christina Shusho? Bonny Mwaitege? Upendo Nkone? Jennifer Mgendi? Beatrice Muhone? Ambwene Mwasongwe? Martha Mwaipaja? Flora Mbasha?.............
3 Reactions
153 Replies
40K Views
Mwaka jana 2023 niliamua pia kusoma vitabu vya riwaya za kiswahili ambapo niliegemea zaidi kwenye zile za ujajusi. Katika hizi niliamua kusoma riwaya za waandishi watatu 1. Calvin Mponda 2...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
movie ambayo inamuonesha jason mzee wa ngumi za kutosha ambaye ni mtandao wa siri wasio julikana ndani ya serikali nyingi duniani. tuje kwenye mada: kiufupi ukiangalia hii movie iliyotoka 2024...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Finally Msanii Harmonize ameuachia wimbo wake wa "I made it" ambao kawashirikisha wasanii Bien wa kenya na Bobby Shmurda toka States. Huu wimbo ulikuwa unasogezwa siku mbele kuachiwa, sio mara...
2 Reactions
2 Replies
878 Views
Wakuu Kitambo Fulani pale Kenya ulihit sana wimbo kwa jina la Stella .. Wimbo huo ulioimbwa na mtu aitwaye freshley mwamburi ni kisa cha msichana aliyeitwa Stella , ambaye alipelekwa japan na...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
SIMULIZI YA MAISHA : Mzigo wa Bosi uliharibu maisha yangu. MWANDISHI: Gilbert Evarist Mushi PHONE: +255621249611 SEHEMU YA 01 Kwa Majina Naitwa Gilbert Mwaitika, Nina umri wa miaka 25...
4 Reactions
116 Replies
42K Views
Nimekaa kwenye ofisi na siyo ofisi ndogo,ofisi kubwa sana,Tena ninaimiliki mwenyewe iliyosheheni furniture za thamani na kila kitu nilichokuwa nakitamani muda wote wa maisha yangu,ninayo Amani ya...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Sehemu ya kwanza Habari za wakati huu, Niite Mark ni mtu mzima nilikuwa na mke na watoto 6. Nimzaliwa wa mkoani Kilimanjaro, moshi mjini Njoro. Elimu yangu ilikuwa ya kulenga kwa manati...
13 Reactions
86 Replies
14K Views
Kwa wapenzi wakuangalia Movies, ni Kampuni gani kati ya hizi ukiiona kwenye movie unakuwa na hamu ya kuangalia hiyo Movie. Mimi ni WB (Warner Bros) Boqin Naomba ubadilishe Thread Title...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Hi guys nyimbo Kali nyingi zilitungwa kipindi hicho kama vile 1)Dynamite ya taio Cruz 2)International love ya pitbull ft Chris brown 3)Coconut tree ya mohombi 4)Bumpy ride ya mohombi 5)Moves like...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
LANGA alikuwa Msanii wa Hip-hop hapa Bongo,Alijulikana sana kupitia mashindano ya Coca-cola Pop Star akiwa na wenzie,1.Sarah Kaisi - Shaa2. Witnes Mwaijage - Witness3.Langa Kileo - LangaNgoma yao...
12 Reactions
22 Replies
4K Views
Hapa Bambo kule Kingwendu nani kaangusha Melodies kali zaidi?
0 Reactions
7 Replies
628 Views
Kulikuwa na bifu lililotikisa miaka ya mwanzoni ya 2000 kati ya TMK na east coast, kipindi hiko watoto wengi wa 2000 ndo walikuwa wakitungwa so hawajui lolote. Gk kupitia truck yake kali ya hii...
1 Reactions
3 Replies
603 Views
Let me go bare knuckles. Our majirani (Tanzanian) are needful lot. They depend on The Storybook, a show on Wasafi TV, hosted by Jamal April who translates Wikipedia stories to Swahili while...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…