Collabo ya Hip hop

DIZASTA VINA FT CONBOI.

Hii ndio collabo ambayo naisubiri sana kwenye game la Hip hop sijui itakuwaje. 🔥🔥🔥
Mkuu Haiwezi kutokea 😅😅
Kwa sbabu wanauimnaji tofauti..
Dizasta ni Narrative Lyrical MC,.
Na Conboi ni New school Hip hop..

Japo lolote linawezekana...
BTw umesikia Nyimbo mpya ya Dizasta achia Jala
 
Mkuu Haiwezi kutokea 😅😅
Kwa sbabu wanauimnaji tofauti..
Dizasta ni Narrative Lyrical MC,.
Na Conboi ni New school Hip hop..

Japo lolote linawezekana...
BTw umesikia Nyimbo mpya ya Dizasta achia Jala
Akiwa na Kaa la moto, mkuu kuna mkwaju mpya unaitwa WACHEZAJI WA TIMU. Kautoa jana aiseee Dizasta hakuna mtu wakumgusa bongo linapokuja suala la hip hop
 
Akiwa na Kaa la moto, mkuu kuna mkwaju mpya unaitwa WACHEZAJI WA TIMU. Kautoa jana aiseee Dizasta hakuna mtu wakumgusa bongo linapokuja suala la hip hop
Ngoja nikaicheck Hiyo wachezaji wa Time..
Huyu jamaa nilianza kumfatilia Tangu kipindi cha Mwana Jua na Ndoa ndoano,Siku mbaya na wimbo usio bora
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom