Indiana Jones yaachiwa leo kwenye digital platforms

caidah

Senior Member
Joined
Aug 17, 2017
Posts
122
Reaction score
174
[emoji625]Indiana jones and the dial of destiny.
imeachiwa leo baada ya kukaa cinema kwa zaidi ya mienzi miwili.

Indiana jones ni moja kati ya movie kali za muda wote kwenye upande wa Adventure.

Hii ndo itakuwa Indiana jones ya mwisho kutolewa katika ule mtiririko wa movie za Indiana Jones

ili uenjoy kuangalia hii movie anza na zile za mwanzo bila hivyo utakuja kusema hujaielewa[emoji28]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

1. Indiana jones and the temple of doom 1984 chronologically hii ndio ya kwanza japokuwa iiitoka baada ya Raiders of lost ark hata ukiwa unaziangalia utaelewa

2. Raiders of the lost ark 1981.

3. Indiana jones and the last crusade 1989.

4. Indiana Jones and the Kingdom of the Crystal Skull (2008)

Then hapa sasa unaweza kuangalia indiana jones and the dial of destiny 2023 ambayo ndio final Indiana Jones.
 
Aisew huwa naziangalia zaidi ya mara moja...
ni movie huwa zinakuwa ndefu sana..
ila sija ipenda hii ya MWISHO... siyo movie.. ni kama documentary
 
[emoji625]Indiana jones and the dial of destiny.
imeachiwa leo baada ya kukaa cinema kwa zaidi ya mienzi miwili.

Indiana jones ni moja kati ya movie kali za muda wote kwenye upande wa Adventure.

Hii ndo itakuwa Indiana jones ya mwisho kutolewa katika ule mtiririko wa movie za Indiana Jones

ili uenjoy kuangalia hii movie anza na zile za mwanzo bila hivyo utakuja kusema hujaielewa[emoji28]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

1. Indiana jones and the temple of doom 1984 chronologically hii ndio ya kwanza japokuwa iiitoka baada ya Raiders of lost ark hata ukiwa unaziangalia utaelewa

2. Raiders of the lost ark 1981.

3. Indiana jones and the last crusade 1989.

4. Indiana Jones and the Kingdom of the Crystal Skull (2008)

Then hapa sasa unaweza kuangalia indiana jones and the dial of destiny 2023 ambayo ndio final Indiana Jones.
mi meiona hii ya mwisho tu 2023,ila nimeielewa na nimeipenda sn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom